HFilam Official
Статистика🎬 ili Kupakua Filamu Zetu? tuchangie Bando 👉 t.me/vifulushi @dj_hxm 0623196232
- Последний пост
- 1 июл.
- Последнее чтение
- 13 авг.
- Постов за неделю
- 0
- Всего постов
- 22
- Тип
- открытый
- Язык
- und
- В каталоге с
- 13 авг.
- 1/24сутки в ленте
- —
- 1/48двое суток
- —
- 1/72трое суток
- —
Оценка по просмотрам недавних постов: пост набирает почти всё за первые сутки.
Посты
без подписи
😂DUKU DUKU ukiachana na ile ya maji maji kuna hii apa vita ya kimoyo moyo 🎀 hivi shawi kujikuta kwenye vita ambayo wew na adui yako mnacheka pamoja mnasoma pamoja mnaishi pamoja, ukidhani ni rafiki kumbe mwenzako anachuki ya moyoni dhidi yako.. 😢 Usiuzunike njoo uwone maajabu Unaambiwa hivi chatu kakutana na chatu mwenzake Leo ngoma drooo. 🧏♂ Kutana na wadada wa wili wachuo wameshauliana wachange wapange chumba, Kama kawa mwanzoni full shangwe mazoea yalipo zidi kila mmoja alianza kumchukia mwenzie kimoyo moyo, 😂😂 kawaida kila mmoja anacheka, moyoni kila mmoja anakasilika Alooo Humu ndani hakuna mnyonge ni wanakomoana hatari. INTRODUCTION 🤦♀Drama / 😂Comedy "It's not a war of death, this is a natural war ." Lipia V.I.P kifurushi 📥DOWNLOAD Let's watch together. 👉 @dj_hxm HFilam | ©2026
без подписи
UPO NA AISHA ALAFU UNAMTAJA FATUMA 😂😂 💔mapenzi ni qudadeq kama unabisha subiri yakukute alafu uwone kama kawa kaka yako weekend alitoka na shemeji yako kwenda kula bata , kufika hotel ya kizungu wakaendekeza uzungu wao , shemeji yako akamfunga pingu kaka yako miguu na mikono akiwa utupu , ili waanze kucheza kizungu , basi bhn saangap? kaka ako asijichanganye kulopoka neno lililo mtibua shemeji yako 😂😂 sasa balaa ni kwamba kaka yako kasha fungwa alafu shemeji yako anatambua kwamba kaka yako alikuwa anamtumia tu ... nazani shemeji yako atachukua hatua ipi , hadi nachapisha hii habari nimemuacha bado anajifikiria...💔💔 INTRODUCTION ❤️Romance / 😂Comedy "There is no way to develop love ." Lipia V.I.P kifurushi 📥DOWNLOAD Let's watch together. 👉 @dj_hxm HFilam | ©2026
без подписи
Picha linaanza mwalimu anakabwa darasani na wanafunzi,🥸 HII NDIYO ILE MOVIE AMBAYO WAUNI HAWATUMI KALATASI KUVUTIA BANGI , wenyewe wanatuma soksi na uniform.🤭 Utajua ujui, 💁♂ Baada ya kuonekana vijana wengi wanapoletea kwenye uhalifu, na matendo maovu, serikali ikaanda shule maarumu kwaajiri ya vijana watukutu, wezi, vibaka, wauwaji, yaan wew ukiwa unasoma zako kwenye shule za wastaalabu ukifanya tukio tu litakalo kupeleka police , umeingia kwenye hiyo shule hudai. Aina hiyo ya wanafunzi wanapo wekwa pamoja we unazani kitatokea nini kwenye hiyo shule "Kwani Haujui Au Ngoja nikuibie siri😁" mwalimu yeyote akimaliza mwezi tu kwenye hiyo shule anapewa 🎉tuzo na laisi wa nchi Macho Macho 😂 "." Teacher there is a job to change behavior students specify the salary you need you 📥DOWNLOAD HERE Buy V.I.P package Let's watch together. 👉 @dj_hxm HFilam | ©2025
HFilam : Praise this (2023) Official Swahili Trailer "Unadhani injili ni ya wazee tu? Sam anakuja na beat ya mtaa, sauti ya mbinguni, na ndoto ya kuvunja mipaka. Hii ni #PraiseThis – pale ambapo trap inakutana na hallelujah! 🔥🎤 #GospelWithSwag #PraiseThisMovie #TrapMeetsFaith" 📥DOWNLOAD HERE Buy V.I.P package HFilam Official Swahili Trailer 👉 @dj_hxm HFilam | ©2025
без подписи
GAME linaitwa BILA KUCHOKA , ukisimama umekufa, mshindi anatimiza ndoto😁...... wakati wewe unavulugwa na maisha hali ngumu , kuna matajiri huku wana wapunguza masikini kisaikolojia... 💭 🧏🏼♂️ game iko hivi, washiliki 50 , wanachopaswa kufanya nikutembea tu kwa kasi ya angalau maili 3 kwa saa, bila kusimama, Ukisimama au kupunguza kasi mara tatu mfululizo, unauawa papo hapo.😬 Hakuna mapumziko, chakula hutolewa wakiwa wanatembea, na mashindano yanaendelea usiku na mchana. Mshindi ni yule anayebaki peke yake baada ya wengine wote kufa. ⚰️🪦 unaitaji kujua game inaisha lini tizama kushoto na kulia mbele na nyuma , ikiwa umebaki peke yako wewe ni mshindi sema chochote unachoitaji utapewa 😱 INTRODUCTION 👹Horror /🎭Thriller "Walk… until there’s only one of you left." 📥DOWNLOAD HERE Buy V.I.P package Let's watch together. 👉 @dj_hxm HFilam | ©2025
без подписи
Bahari ni Sofa, Paka ni Shetani na Baba ndiyo mungu wa huu ulimwengu _ hivyo ndiyo jinsi hiyo mindondocha mi3 hapo inavyo amini 😂😂 Kwenye hii movie utakutana na wazazi wawili wehu haswa , wamejenga nyumba yao kando ya mjii na uzio makubwa unaokata mawasiliano na jamii ya nje, watoto hao wote watatu wanazaliwa hapo na kukulia hapo pasina kutoka nnje ya uzio kuona binadamu wengine tofauti na wazazi wao , Wazazi wao wanawafundisha vitu vya uwongo kama vile , ndege inayopita angani ni Toi, Paka ndiye kiumbe cha Hatari sana kwenye huu ulimwengu 😹... Balaa linaanza wakati ambao mtoto wakiume amefikia umli wa 😍 aubasi tuseme TU hakufanya chochote na dada zake 😅😅 INTRODUCTION 😀horror/👹comedy It's funny., It's exciting, it's shocking, it's sad, it's educational. 📥DOWNLOAD HERE Buy V.I.P package Let's watch together. 👉 @dj_hxm HFilam | ©2025
без подписи
🎬 The Conjuring Universe – Film Chronology (2025 Update) Orodha bora ya kutazama filamu hizi kulingana na mlolongo wa matukio yake: 1️⃣ The Conjuring (2013) 2️⃣ Annabelle (2014) 3️⃣ The Conjuring 2 (2016) 4️⃣ Annabelle: Creation (2017) 5️⃣ The Nun (2018) 6️⃣ Annabelle Comes Home (2019) 7️⃣ The Curse of La Llorona (2019) 8️⃣ The Conjuring: The Devil Made Me Do It (2021) 9️⃣ The Nun II (2023) 🔟 The Conjuring: Last Rites (2025) 📥 TAP HERE TO DOWNLOAD 🎥 HFilam | ©2025
Channel photo updated
без подписи
🔞EX MATEKA | penzi la jambazi na kidemu jau, baba mkwe kayakanyaga.. 😁😁 🧏 Mjomba alikuwa anampenda sana mpenzi wake, lakini mwanamke hakuwa "serious" sana kwenye mahusiano hayo, kwa kifupi, hakuwa ametulia..... Baada ya mjomba kwenda ukweni, anafukuzwa na baba wa binti kwa sababu anaonekana kijana asiyeeleweka. Kwa hiyo, demu naye ikambidi amkatae. Ghafla, mwamba akajikuta anashangaa—yule aliyekuwa demu wake sasa ni EX wake 😢 😬 Balaa limeanza pale amabo mwamba anakutana na mchizi wake , yani mshikaji wake ambae huyo akili zake mbili , ila anasema yuko na moja tu kichwani . iyo nyengine alisha ipiga mnada. Anamshauri wa mteke mateka ambaye alikuwa shemeji yake—ambaye sasa ni EX wa huyo mchizi wake 😅 Halafu, baba wa yule demu alipe ela zote alizo ongwa mtoto wake 😂😂 je, wauni watafanikiwa?
без подписи
🧏🏼♂️ Mzigo unamuhusu Bidada mmoja hivi ambae amefunzwa kuua tu, Baada ya kufanya vibaya kwenye mission yake nchini japan. anajipa muda wa mapumziko kwaajiri ya kujiweka sawa., jambo ambalo wakuu wake hawakupenda, na waliacha kupokea simu zake anafanya kosa jengine baada ya jirani yake "kubakwa😬" na "kuuwawa😭|, kwasababu aliiba "pesa" mama huyo alikuwa na mtoto wa miaka 13 - Bidada anajenga urafiki na huyo dogo, 🤕Balaa linaanzia pale ambapo walioibiwa wanakuja kutafuta pesa zao ikiwa marehemu alificha ndani ya nyumba yake, wana mkuta dogo , na wanapita nae, ili akaeleze mama yake ameficha wapi? pesa, Bidada baada ya kujua wauni walijua ni 🥰pic kali imejichanganya imeingia choo chakiume.. so, bidada aikiwa anapambana kumpata dogo, pia anatumiwa wauwaji na wakuu wake ili auliwe , kufikia hapa mimi sijui kama alikubari kufa au alikataa kufa ⪼ : 📥DOWNLOAD 🥰VK - Packages | 🍕Lipia Hapa ©️2024 #action
без подписи
💀UNAKUMBUKA | Hatma zetu zinaendelea vile vile hadi pale tutakapokamilisha kile kilichotuleta kwenye maisha. Kufa, kuzaliwa, kufa, kuzaliwa—kuna mwanzo na pia kuna mwisho. Huu ni mfululizo wa From S03, ukielezea hali ya wahusika wanaotafuta njia ya kuchomoka katika kijiji ambacho "muziki ni nuksi," usiku "rangi nyeupe na nyeusi hupishana," na "mchana hakuna njia inayoonekana." Baadhi ya waathirika wanajikuta katika wakati mgumu zaidi kutokana na mambo yasiyoonekana kwa wengine—isipokuwa kwao pekee. Baada ya muda mrefu wa kutafuta majibu, wanagundua kuwa tayari hawawezi kubadilisha hatma yao. Tayari wapo ndani yake, na walishakuja kwenye maisha zaidi ya mara moja na malazote waliishia kufa nakushindwa kutimiza hatima yao ya kuokoa wengine From S03 imeisha baada ya muziki uliozusha mizimu kutembea mchana badala ya usiku pekee, huku wahusika wakijikumbuka wao ni nani. Hata hivyo, imetuonyesha jinsi mizimu inavyozaliwa kupitia binadamu. ⪼ : S03 📥DOWNLOAD 🥰VK - Packages | 🍕Lipia Hapa ©️2024 #Horror