Dr. Charles Channel️
СтатистикаTech Tips, Internet Help, Windows Softwares and other Guides Simply in Swahili 🇹🇿 | Dr. Charles' Official Public Channel ___________ 🛠 Anything? — Direct Chat TG @drcharlestz 📧 Email: ceo@ivynetwork.co.uk 🚫 Copyrights: copyrights@ivynetwork.co.uk
- Последний пост
- 15 авг.
- Последнее чтение
- 13 авг.
- Постов за неделю
- 1
- Всего постов
- 35
- Тип
- открытый
- Язык
- английский
- В каталоге с
- 13 авг.
- 1/24сутки в ленте
- 728
- 1/48двое суток
- 834
- 1/72трое суток
- 899
Оценка по просмотрам недавних постов: пост набирает почти всё за первые сутки.
Посты
Chuma hiki hapa 🙌 Kimefika Telegram rasmi. Hii ni Bot maalumu ambayo tumei design kwaajiri ya Developers na watalamu wa Mifumo pekee. Bot hii Itakusaidia kupitia Project zako (Website, Infrastructure, DNS na mengineyo) kwa urahisi, salama na Bure kabisa hapa hapa Telegram. Project hii ni OpenSource, means kwamba ni FREE FOREVER kwa kila kitu, lakini pia Code zetu tulizotumia kujenga Project hii ziko Wazi, ukiwa kama Developer unaweza kuzipitia na Kuongeza code zako pia ikiwa kama sehemu ya Kujenga Project hii. SautiLink Cloud Engine ina tools zaidi ya 20+ zinazotoa Real time data, pia inakupa na ushauri. Hii ni Zawadi yangu kwenu Developers, karibuni tuijenge pamoja pia. Ukiona Bug 🪲 usisite kushare nami kupitia inbox @drcharlestz Go and Test it 🥳 @sautilinkcloud_bot @sautilinkcloud_bot @sautilinkcloud_bot Au Elekea katika Webpage kwa UI nzuri zaidi: https://cloudengine.sautilink.com NI BUREEE!, Tools nyingi zaidi za hacks pia tutaongeza soon, Hakikisha una i pin Bot hii! 🙌
Vidmate | Premium, No Ads App Maalumu kwaajiri ya Kupakua Video kutoka katika Platform mbalimbali maarufu mf. YouTube, Facebook, Instagram, TikTok na nyingine. Katika Version hii, Matangazo yameondolewa, App imeongezewa speed zaidi, Unlimited downloads, Itafanya kazi kwa Version zote za Android kuanzia Android 8.1 hadi Android 16 na Ile sehemu ya Downloads iko fixed sasa. ✅ Security checked ✅ Safe, No Virus ⚠️ MUHIMU: Tafadhali Washa Private DNS kwanza katika simu yako ili kuzuia popups. 🔗 Angalia Video (Ni Lazima) 🔗 DOWNLOAD APP Ikiwa Utapata Changamoto usisite kunifikia Inbox @drcharlestz Join Channel @drcharlesofficial Join Group @techhubtz
App Version: 5.3425 ✅ Unlimited Downloads ✅ No Ads (Hakuna Matangazo) ✅ Speed X25 ✅ Stable Join Channel @drcharlesofficial Join Group @techhubtz
Bila Shaka kama wewe ni Mnufaika wa Mapato ya Facebook au Meta utakuwa umepata Ujumbe huu leo December 16, 2025. Iko hivi, Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) iliwasilisha maombi kwa Meta kuhusu Kodi yaani kila Mtu (Content Creator) anayelipwa kutoka Tanzania alipe Kodi ya Asilimia 5 kwa kila Muamala atakaopokea kutoka Meta/Facebook. Leo Meta imepitisha Ombi hilo, na sasa Kuanzia December hii, kwa Wale wote Ambao Tarehe 21 mpaka 25 mnategemea kuingiziwa Pesa na Facebook basi kutakuwa na Makato ya asilimia 5, Means Kama ulitakiwa kulipwa Millioni Mbili (2,000,000) basi utaingiziwa TSh 1,900,000 (Makato 100,000) Kodi hii si kwa Watumiaji wa Facebook tu hata Instagram pia. Msisahau, Nje na Makato haya ya TRA, Meta nao huwa na makato yao takribani $5-25 hivi kwa Miamala yote inayotumwa kwa Raia wasioishi Marekani. Kodi hii si rafiki kwa Content Creators wadogo, itawaumiza sana. Join Channel @drcharlesofficial Join Group @techhubtz
🔥 VIDMATE | NO ADS, FREE App itakayo kusaidia kudownload Movies, Videos, Music na Content nyingine mbalimbali kutoka YouTube na Platform nyingine! MUHIMU ✈️App hii imeondolewa Matangazo (Ads & Popups) ✈️Imelipiwa kila Kitu, No Subscription ✈️Itakusaidia Kudownload Video Nyingi kwa Pamoja ✈️Download Video za Facebook, YouTube na Instagram, Likee, TikTok na Mitandao mingine ✈️App hii ni Kwaajiri ya Simu za Android pekee na inafanya kazi karibu kwa Simu zote za Android ✈️Checked, No Virus - SAFE! ✈️App version: v5.1904 Join Channel @drcharlesofficial Join Group @techhubtz
✅IDM (Internet Download Manager) | Unlocked, Free Forever! MUHIMU: ✈️Kamwe Usi UPDATE software hii hatakama itakutaka kufanya hivyo ✈️Software hii Imeondolewa malipo, Original Software hudai malipo. Kama Ulivyoipata BURE nawe share BURE, Kamwe USIUZE!! ✈️Zima Internet katika Laptop au Computer yako kabla ya kufanya installation (Ikiwezekana futa Antivirus app yoyote, baada ya kuinstall irejeshe). ✈️Baada ya Kumaliza kuinstall Washa Internet na ifungue IDM app kisha bofya Alama ya "Options" kisha weka tiki ✅ katika Google Chrome na Nyingine (Ikiwa unatumia mojawapo weka tiki kwenye Browser unayotumia), ✈️Usisahau Kubofya Enable. IDM ni nini? Ni software maalumu inayopatikana kwa watumiaji wa Laptop au computer zenye Windows OS inayokusaidia Kudownload Video fupi (Clips) na Ndefu (Movies,Films, Documental) na Content Mbalimbali kutoka katika Website (Karibu zote) kwa Urahisi, Haraka na Smart. NAMNA YA KUINSTALL ✈️File hili liko katika mfumo wa (.rar) hivyo ni lazima ufanye extract ili iwe katika (.exe) ✈️ Download Winrar (Kama huna), na Extract file (Angalia Video) ✈️Install file na Enjoy! Furahia Software hii sasa BURE bila Gharama zozote za ziada. Join Channel @drcharlesofficial Join Group @techhubtz
INTERNET HAITAZIMWA! Hakutakuwa na Katizo lolote la internet Nchini kwa Round hii ili kuepuka Nchi kuporomoka Kiuchumi, isipokuwa kutakuwa na zuio la baadhi ya Mitandao ya Kijamii pekee, yaani huenda Baadhi ya Mitandao isipatikane mpaka uwe na VPN. Hakikisha una VPN za Akiba mapema ili kuepuka Changamoto hiyo. Ili Kutumia Telegram na X (Twitter) bila VPN hakikisha una Proxy, Kwa Proxy za Telegram na Twitter (X) Tembelea @officialtaskmanagerbot na bofya /proxy, kisha chagua Aina ya Proxy unayohitaji. Kwa Swali au Msaada wowote usisite kunifikia Inbox @drcharlestz Always Together!
😊Avast SecureLine VPN | Activation Code ▻ Expiry: February 3, 2026 ▻ Devices: Up to 100 Devices (iOS, Android, Widows, MacOS) Code/Key ✅ JNT5VG-Q76LR2-5LCH7W Kwanini Avast Secureline VPN? Hii ni VPN yenye Server zenye Speed, Imara na Salama zaidi zinazo kuruhusu Kustream, Kudownload na Kufanya Uploads haraka zaidi kuliko VPN nyingine yoyote ile. Bado Ungependa Kuijua zaidi? ► Soma zaidi hapa Hujui namna ya Kufanya Activation au Kuweka Code hizi? ► Jifunze zaidi hapa Always Together! Join Channel @drcharlesofficial Join Group @techhubtz
Mwanzoni mwa Mwaka 2026 tunaileta Kwenu SautiLink, Social Media pekee kutoka Tanzania ambayo itampa Mwananchi Uhuru wa Kujieleza na Kupost chochote bila Vizuizi (A free speech Platform). SautiLink itakuwa ni sehemu ya SpaceVerse Project kutoka Ivy Network PLC itakayolenga Uwazi na Uhuru wa Mwananchi kujieleza. Kaa tayari, Proudly Tanzanian 🇹🇿!
⚠️ MUHIMU KWA WANAOLIPWA FACEBOOK ⚠️ Kwa Ndugu zangu Mnaolipwa katika Facebook, Mwezi huu huenda Mkacheleweshewa Pesa katika Account kwasababu Payout Date imefika ikiwa ni Weekend, siku ambazo si za kazi. Facebook huanza mchakato wa Kutuma Pesa katika Bank accounts tarehe 21 ya Kila mwezi kutokana na Kiasi ulichovuna mwezi Uliopita. Hivyo Tarehe 21 mwezi huu Ilikuwa weekend na kwa Sheria zao ni Ngumu kutuma Pesa Weekend, Tegemeeni Kuona Pesa katika Account zenu za Benki kuanzia Kesho Jumatatu 24 Nov. 2025. Facebook haitapeli Pesa hatakama Utavuna zaidi ya Millioni 500, itakuwekea Pesa yote unayostahili bila kona kona na endapo umekosea kujaza Tax info au Taarifa zako za Kibenki Pesa huendelea Kushirikiwa na Facebook mpaka pale utakapoweka sahihi taarifa zako. . ✅Kumbuka: Benki nyingi hasa Tanzania (NMB, CRDB na nyinginezo) hutumia Mfumo wa SWIFT transfer kama Njia ya Kutransfer pesa kutoka Nchi zilizoendelea kuja katika Benki, pesa zile hutumwa kama Dollar 💵 then Baadae Benki yako hubadilisha Dollar ile (Conversion) na kuwa Pesa ya Tanzania then wanaiingiza katika Account yako. Kwa Kawaida Process ya Kuconvert pesa huchukua mpaka masaa 7 pekee japo baadhi ya Benki huwa na Automatic Convert, yaani dollar hubadilishwa automatically na mfumo then baadae husubiri Human Review (Uthibitisho wa Binadamu) kuthibisha kuwa Muamala ule ni sahihi na umetoka kwa mtumaji anayefahamika na si Matapeli. Ni Muhimu Kuzingatia Kuwa Katika SWIFT Transfer kuna Makato (Around Dollar 15 mpaka 25) kwa kila Muamala unaotumwa na Facebook kuja katika Benki yako. Yaani mfano, Umevuna $321.46 ambayo ni sawa na TSh 787,000 (Kwa Rate ya leo), kwenye Benki account huenda Ukaingiziwa TSh 705,000 au Pungufu. Endeleeni kuwekeza zaidi katika Facebook! Join Channel @drcharlesofficial Join Group @techhubtz
Rasmi ninaanza Ufuatiliaji wa Issue ya Free Internet kwa Mtandao wa Vodacom kwa VPN mbalimbali. Kaa hewani kwa Updates zaidi!
Msijazwe Hofu na Kunguni yoyote, Hakuna Mtu yeyote anayeweza Kudukua WhatsApp au Telegram Chat zako. Kuweni na Amani. WhatsApp na Telegram ni Mitandao yenye Ulinzi wa Hali ya Juu zaidi. WhatsApp na Telegram zote kwasasa zimefungiwa, WhatsApp hasa upande wa Media huwezi kutuma Picha, Document au Video isipokuwa Message za maandishi pekee. Nadhani Serikali imezuia ili watu wasisambaziane zile Video za Mauaji. Ili kupata Uhuru wa Kutuma Media na Kutumia Mitandao kwa Uhuru Washa VPN yako wakati wote.
Avast SecureLine VPN | Activation Code ▻ Expiry: November 18, 2025 ▻ Devices: Up to 100 Devices Code/Key ✅ NTEW5H-BT48T2-4ZLHYW Kwanini Avast Secureline VPN? Hii ni VPN yenye Server zenye Speed na Salama zaidi zinazokuruhusu Kustream, Kudownload na Kufanya Uploads haraka zaidi kuliko VPN nyingine. VPN hii ni Imara zaidi kuliko kawaida na Inapatikana katika Vifaa vyote, yaani Laptop, Simu za Mkononi (Wenye iPhone na Android) na Computers za OS zote. ► Soma zaidi hapa Hujui namna ya Kufanya Activation au Kuweka Code hizi? ► Jifunze zaidi hapa Join Channel @drcharlesofficial Join Group @techhubtz
Tusijiamini sana, Mitandao bado haiko sawa. Hakikisheni mnakaa na VPN za Akiba. Wale ndugu zangu tuliozoea Kutumia Avast Secureline VPN nawawekea Activation Code punde tu! Wengine tuendelee kutumia hizo juu kwa Ulinzi na Uingiaji Mtandaoni.
Watu wanakufa wakipambania Nchi yao bado mtu anasimama kwenye Kiapo anasema hawakuwa Raia wa Nchi hii, muda huo huo kuna kunguni anasema “Mitano tena”. Hivi ninyi hamjawahi Kufiwa? — Hivi mlitegemea Wakristo mliowafungia Makanisa yao watawapendeni? — Je, Familia za waliotekwa mlitegemea watakaa ndani tu ingali wanaona wenzao wako Barabarani Kupambania haki za Ndugu zao? Out of that, Vijana Mmewanyima Ajira wakaamua kujiajiri mitandaoni wengine ni Content Creators, wengine ni Wanao beti... Mkaona wanafaidi sana Mkazima Intaneti kwa Mihemko yenu na Uoga wa Kipumbavu tu, hivi nao mlitegemea watafurahi tu? — yaani unizibie sehemu inayonipa Rizki then nikupongeze tu Really!? Hii ni Aibu kubwa kwa taifa. Mmewakera Watanzania wengi, na Ukweli mnaujua. Yaani mnataka kila mtu awe mfuatilia siasa. Ujinga huu Msiwaumize wengine kwa Changamoto zenu wenyewe.
Cloudflare Warp 1.1.1.1 VPN | Kwa PC/Laptop za MacOS ✅ Free & Fast on Upload & Download ✅ Stable & Secure ✅ Secure Tumia VPN hii ili kupata access ya Kuingia katika Apps na Website zilizofungiwa Nchini. Join Channel @drcharlesofficial Join Group @techhubtz
Cloudflare Warp 1.1.1.1 VPN | Kwa Windows PC/Laptop ✅ Free & Fast on Upload & Download ✅ Stable & Secure ✅ Secure ✅ Windows 10 & 11 Tumia VPN hii ili kupata access ya Kuingia katika Apps na Website zilizofungiwa Nchini. Join Channel @drcharlesofficial Join Group @techhubtz
Cloudflare Warp 1.1.1.1 VPN | Kwa Simu za Android ✅ Free & Fast on Upload & Download ✅ Stable & Secure ✅ Secure Tumia VPN hii ili kupata access ya Kuingia katika Apps na Website zilizofungiwa Nchini. Join Channel @drcharlesofficial Join Group @techhubtz
Baada ya Maoni ya Ndugu yangu huyu aliyenitumia Inbox niliamua kufanya Speed Test nikabaini ni Kweli Psiphon ina punguza Speed ya Mtandao, yaani hii inawafaa zaidi watu wasio na mambo mengi mtandaoni. Kwa Wenye Mambo mengi twende kwa Cloudflare Warp 1.1.1.1, hii ni VPN yenye Nguvu zaidi na ya Kuaminika Inayosimamiwa na Kampuni ya Cloudflare. Katika Post inayofuata hapo chini ninawawekea Package tatu za App hii ambapo kuna Version ya Android, MacOS na Windows.. Aidha nitaweka Link kwa Wenye Simu za Android na namna ya Kuifanyia Installation. Ni VPN yenye speed zaidi, Salama na yenye Ulinzi wa hali ya Juu zaidi 👇 👇 👇
#VIDEO | NAMNA YA KUIWASHA NA KUTUMIA PSIPHON PRO VPN KWA SIMU ZA ANDROID Tumia VPN hii kuaccess App zote zilizofungiwa Nchini. ✅ Washa VPN yako ✅ Ingia katika App yako ✅ Enjoy Mtandao Join Channel @drcharlesofficial Join Group @techhubtz