Malindi Kenya
СтатистикаA Place Where Malindi People Will Meet And Share Ideas On Different Fields.
- Последний пост
- 7 февр.
- Последнее чтение
- ещё не заходили
- Постов за неделю
- 0
- Всего постов
- 21
- Тип
- открытый
- Язык
- английский
- В каталоге с
- 15 авг.
- 1/24сутки в ленте
- —
- 1/48двое суток
- —
- 1/72трое суток
- —
Оценка по просмотрам недавних постов: пост набирает почти всё за первые сутки.
Посты
🔥 MSANII DOUBLET LACS AACHIA “ACHA NIAMINI” 🔥 Msanii Doublet lacs 254 anayevunja mipaka licha ya changamoto za ulemavu, ameachilia rasmi ngoma yake mpya “Acha Niamini” — ikiwa ni track yake ya kwanza chini ya G Sound Records, chini ya mkono wa Producer Raj Medit. 🎶 Hii sio tu ngoma, ni ujumbe wa moyo, imani na kusimama imara bila kujali hali. Doublet Lacs anaonyesha wazi kuwa kipaji hakizuiliwi — ni moto mtupu! 🔊💥 Tazama hapo chini, sikiliza, share na support kipaji cha nyumbani. Mtaa uamue! 👇👇 https://youtu.be/QaaFId1c6rg?si=JPhKYUmtr9p9SyNj
JOIN AND BE PART OF OUR BIG TEAM LINK 👉 https://www.messenger.com/channel/malindikenyanews
Whose also experiencing this???
Pastor ashikwa akipiga tamasha na kondoo wake
A Somali girl is hugging a tree untill their leaders come back from Nairobi where they live and build good schools, hospitals, roads etc in Northern Kenyan...
Mambo vipi.. Nawakaribisha kwa mara nyingine kuburudika na wimbo wetu mpya #Monalisa kutoka kwa Sadi Øne ft Kennovelty Ke pale youtube na kwa digital platform zote.... Ninachoomba ni dakika zako tatu gusa hii link hutojutia... 👇 https://youtu.be/gvo0Lk-pce4?si=a-0afoLWH4uA3O1h
Mwanamke afichua mwanamume aliejifanya kuwa na kifafa kisha anaomba michango kutoka kwa wasamaria wema baadaye...
https://vm.tiktok.com/ZMH7JJJ7b1vsS-7nXEu/ Follow us on TikTok
Cheki Soko La Malindi Lilivyokuwa Mwaka Wa 1993
Nimegundua mabinti wengi sana huku Pwani haswa Malindi wanapenda kubeba vibeti vyeupe wakiwa mishe mishe zao... hivi ni kwa nini???
🤔😵😳
без подписи
SHERIA MPYA ZA HOSPITALI YA KATA NDOGO YA MALINDI Ili kulinda faraja, faragha na usalama wa wagonjwa na wafanyakazi wa hospitali ya Malindi, shughuli zifuatazo zimepigwa MARUFUKU kabisaaaaa ndani ya majengo ya hospitali: 1. Hawking au aina yoyote ya biashara ndani ya eneo la hospitali. 2. Kupiga video au picha bila idhini ya awali kutoka kwa wasimamizi wa hospitali. 3. Kubeba silaha za aina yoyote hospitalini. 4. Kuleta wanyama kama PETS ndani ya wodi au uwanja wa hospitali. 5. Kusababisha kelele zisizo za lazima zinazovuruga mapumziko ya wagonjwa na shughuli za hospitali. 6. Kunywa pombe au kuvuta sigara ndani ya maeneo ya hospitali au wadi... #MjadalaWaziwaziMalindi
RIP JANUARIOUS ANWAR... 😭
https://vm.tiktok.com/ZMHGXTHtBssGn-HzFwv/
RIP JANUARIOUS ANWAR 😭
https://whatsapp.com/channel/0029VbB2ZKr4tRrk6a74Sd2I Guys JOIN our WhatsApp channel & turn on Notifications... We're on the right truck...
Huyu mama Amina Kirote Mathio yuko Malindi General hospital amelazwa na anasema anatokea upande wa Watamu... Mpaka saa hii hakuna mtu kwao amefika hospitali... 😭😭😭 Ako na kidonda kwa mguu, Anafaa kwenda theatre but before theatre kuna picha anafaa kupigwa, na ni Mpaka mtu wa kwao a-sign consent ya theatre... Hana mtu wa kumwangalia wala kumuosha... Kitambulisho inasema bara kwao ni; Mitine, Igoji, Meru... Tafadhali anaemjua, ama anataka kumsaidia, awasiliane na muuguzi kupitia hii namba 👉 0729894565... Tafadhali Sambazeni huu ujumbe watu wa kwao wapatikane na asaidike!!! Don't forget to Follow our Malindi Kenya channel on WhatsApp: https://whatsapp.com/channel/0029VbB2ZKr4tRrk6a74Sd2I
Kanjo vs Manamba/ madereva... Imekuwa noma 😊
без подписи