tgindex
Manhaj Media Pro

Manhaj Media Pro

Статистика

KITUO BORA CHA ELIMU SAHIHI. Follow us on: Facebook, Instagram, Twitter and YouTube @manhajonlinetv Wasiliana nasi kupitia kiunganishi kifuatacho: http://t.me/ManhajOnlineTVbot

Последний пост
8 авг.
Последнее чтение
15 авг.
Постов за неделю
0
Всего постов
20
Тип
открытый
Язык
sn
Категория
Видео
В каталоге с
14 авг.
Подписчики
1 184
+6 за 4 дн.
Сутки
+1
+0,08%
Неделя
 
Месяц
 
Просмотров на пост
67
20 постов
Вовлечённость
5,7%
к подписчикам
Постов в день
0,0
всего 20
Упоминаний
0
каналов
Охват размещения
оценка
1/24сутки в ленте
59
1/48двое суток
67
1/72трое суток
72

Оценка по просмотрам недавних постов: пост набирает почти всё за первые сутки.

Посты

  • 🌙 Nasaha za Leo – Jumapili, 09 August 2026 | 26 Swafar 1448H 📌 Ewe Muislamu! Usiwe ni mwenye kueneza aibu na mapungufu ya ndugu zako kwani hiyo ni dhulma na ni deni kwako. 🌍 Jiunge na channel yetu ya WhatsApp kupitia link hii: https://whatsapp.com/channel/0029VajCWj1GzzKOZcR4fL0C

  • 🌙 Nasaha za Leo – Jumamosi, 08 August 2026 | 25 Swafar 1448H 📌 Kushikamana na Sunna ndio uongofu, na ndio kumfuata Mtume Rehma na Amani zimuendee. Usichague njia nyingine isiyokuwa hii. 🌍 Jiunge na channel yetu ya WhatsApp kupitia link hii: https://whatsapp.com/channel/0029VajCWj1GzzKOZcR4fL0C

  • 🌙 Nasaha za Leo – Alhamisi, 06 August 2026 | 23 Swafar 1448H 📌 Hii ndio thamani ya kumuogopa Allah. Muogope Allah unapokuwa mwenyewe au unapokuwa mbele za watu. Huo ndio ukweli wa kumuogopa yeye. 🌍 Jiunge na channel yetu ya WhatsApp kupitia link hii: https://whatsapp.com/channel/0029VajCWj1GzzKOZcR4fL0C

  • 🌙 Nasaha za Leo – Jumatano, 05 August 2026 | 22 Swafar 1448H 📌 Kukithirisha kumtaja Allah ni sababu kubwa ya kuepushwa na shari za shaitwani. Na miongoni mwa shari zake ni kuingiza usahaulifu na wasiwasi kwa mwanadamu. 🌍 Jiunge na channel yetu ya WhatsApp kupitia link hii: https://whatsapp.com/channel/0029VajCWj1GzzKOZcR4fL0C

  • 🌙 Nasaha za Leo – Jumanne, 04 August 2026 | 21 Swafar 1448H 📌 Ewe Mwanamke wa kiislamu! Tambua kuwa haki ya mume wako ni jambo zito na linalotiliwa kipaumbele. Jitahidi kuichunga haki hii ili kupata radhi za Allah. 🌍 Jiunge na channel yetu ya WhatsApp kupitia link hii: https://whatsapp.com/channel/0029VajCWj1GzzKOZcR4fL0C

  • 🌙 Nasaha za Leo – Jumatatu , 03 August 2026 | 20 Swafar 1448H 📌 Msingi wa kuepukana na kufuata matamanio ya nafsi basi ni kufuata maamrisho ya Allah yaliyokuja katika sheria ya dini na sio vinginevyo. 🌍 Jiunge na channel yetu ya WhatsApp kupitia link hii: https://whatsapp.com/channel/0029VajCWj1GzzKOZcR4fL0C

  • 🌙 Nasaha za Leo – Jumapili , 02 August 2026 | 19 Swafar 1448H 📌 Tawhidi ndio msingi wa kukubaliwa matendo ya mja. 🌍 Jiunge na channel yetu ya WhatsApp kupitia link hii: https://whatsapp.com/channel/0029VajCWj1GzzKOZcR4fL0C

  • 🌙 Nasaha za Leo – Jumamosi , 01 August 2026 | 18 Swafar 1448H 📌 Moyo unapojawa na kumcha Allah na kufanya mema kwa ikhlasi, hali hiyo humkinga mtu dhidi ya kutumbukia katika dhambi na uasi. 🌍 Jiunge na channel yetu ya WhatsApp kupitia link hii: https://whatsapp.com/channel/0029VajCWj1GzzKOZcR4fL0C

  • 🌙 Nasaha za Leo – Ijumaa, 31 July 2026 | 17 Swafar 1448H 📌 Kuzungumzia heshima za Waislamu kwa usengenyi, fitina au mambo ya uzushi ni jambo hatari sana linaloweza kumpeleka mtu kwenye adhabu ya Moto ikiwa hatatubia. 🌍 Jiunge na channel yetu ya WhatsApp kupitia link hii: https://whatsapp.com/channel/0029VajCWj1GzzKOZcR4fL0C

  • 🌙 Nasaha za Leo – Alkhamisi, 30 July 2026 | 16 Swafar 1448H 📌 Mtu ambaye hukubali nasaha, huathirika anapokosolewa kwa haki, na hujihisi mwenye makosa badala ya kuwa na kibri, huyo bado moyo wake una uhai wa imani na unatarajiwa kurekebika. Ama moyo usioathirika na mawaidha wala kukosolewa, hiyo ni dalili mbaya. 🌍 Jiunge na channel yetu ya WhatsApp kupitia link hii: https://whatsapp.com/channel/0029VajCWj1GzzKOZcR4fL0C

  • 🌙 Nasaha za Leo – Jumatano, 29 July 2026 | 15 Swafar 1448H 📌 Kufanya matendo mema kwa ajili ya Allah ni msingi wa kukubaliwa matendo. Na kufanya matendo kwa kuwaonyesha watu ni hasara kwa mja mbele ya Allah. 🌍 Jiunge na channel yetu ya WhatsApp kupitia link hii: https://whatsapp.com/channel/0029VajCWj1GzzKOZcR4fL0C

  • 🌙 Nasaha za Leo – Jumanne, 28 July 2026 | 14 Swafar 1448H 📌Hii ndio tabia halisi ya machawa kwani hupelekea kumsifu mtu kwa sifa hata zisizo zake. Hii si tabia nzuri na hupelekea kupata madhambi. 🌍 Jiunge na channel yetu ya WhatsApp kupitia link hii: https://whatsapp.com/channel/0029VajCWj1GzzKOZcR4fL0C

  • 🌙 Nasaha za Leo – Jumatatu, 27 July 2026 | 13 Swafar 1448H 📌 Swala ni ibada kubwa na ni nguzo muhimu kwa Muislamu. Swala huondosha madhambi ya mwenye kuiswali na kumuacha msafi ikiwa ataiswali ipasavyo na akawa ni mwenye kujiepusha na madhambi makubwa. 🌍 Jiunge na channel yetu ya WhatsApp kupitia link hii: https://whatsapp.com/channel/0029VajCWj1GzzKOZcR4fL0C

  • 🌙 Nasaha za Leo – Jumapili, 26 July 2026 | 12 Swafar 1448H 📌 Jukumu la kila mwenye elimu ni kupupia katika kuisambaza na kuifanyia kazi elimu aliyonayo. Haitakikani kwa mwenye elimu kuwa na khofu katika kuifundisha elimu hiyo, kuzembea au kuacha kuitekeleza kwa vitendo. 🌍 Jiunge na channel yetu ya WhatsApp kupitia link hii: https://whatsapp.com/channel/0029VajCWj1GzzKOZcR4fL0C

  • 🌙 Nasaha za Leo – Jumamosi, 25 July 2026 | 11 Swafar 1448H 📌 Ewe Muislamu! Chagua mtu sahihi wa kusuhubiana nae na waepuke watu wa shari na fitina, kwani amani huanza kujengwa moyoni mwako kupitia watu sahihi wanaokuzunguka. 🌍 Jiunge na channel yetu ya WhatsApp kupitia link hii: https://whatsapp.com/channel/0029VajCWj1GzzKOZcR4fL0C

  • 🌙 Nasaha za Leo – Ijumaa, 24 July 2026 | 10 Swafar 1448H 📌 Muombe Allah kwa yakini akuthibitishe katika haki, kwani haki haitafutwi kwa nguvu au akili nyingi bali ni kwa tawfiq ya Allah. 🌍 Jiunge na channel yetu ya WhatsApp kupitia link hii: https://whatsapp.com/channel/0029VajCWj1GzzKOZcR4fL0C

  • 🌙 Nasaha za Leo – Alkhamisi, 23 July 2026 | 09 Swafar 1448H 📌 Uepushe mdomo wako kuwa ni sababu ya fitna kukua na kuenea. Kwani matokeo yake huwa ni mabaya katika da'awa na jamii kwa ujumla kuliko watu wanavyodhani. Na hivi ndivyo namna unavyoweza kuwa ukiwa na dhamira njema ya daawat salafiya. 🌍 Jiunge na channel yetu ya WhatsApp kupitia link hii: https://whatsapp.com/channel/0029VajCWj1GzzKOZcR4fL0C

  • 🌙 Nasaha za Leo – Jumatano, 22 July 2026 | 08 Swafar 1448H 📌 Haimaanishi kwamba uzuri, mali au nasaba (ukoo) havina thamani kabisa, bali visiwe kipaumbele kinachoitangulia dini. Kwa mwenye dini kuna matarajio makubwa ya kutekelezwa haki za mume kulea familia katika misingi sahihi, uvumilivu na mengi mazuri. 🌍 Jiunge na channel yetu ya WhatsApp kupitia link hii: https://whatsapp.com/channel/0029VajCWj1GzzKOZcR4fL0C

  • 🌙 Nasaha za Leo – Jumanne, 21 July 2026 | 07 Swafar 1448H 📌 Uadilifu kwa wazazi hauishii kwenye kuwapa chakula au mali pekee, bali unajumuisha pia upole wa uso, heshima katika mtazamo, na maneno mazuri. Jitahid kuwa mwema kwao bila kumuasi Allah. 🌍 Jiunge na channel yetu ya WhatsApp kupitia link hii: https://whatsapp.com/channel/0029VajCWj1GzzKOZcR4fL0C

  • 🌙 Nasaha za Leo – Jumatatu, 20 July 2026 | 06 Swafar 1448H 📌 Elimu yenye manufaa humzaa mtu mnyenyekevu, mwenye khofu ya Allah na kujishusha mbele ya watu. Kadiri elimu ya mtu inavyoongezeka, ndivyo anavyozidi kujiona ana upungufu na uhitaji wa rehema za Allah, si kujiona bora kuliko wengine. 🌍 Jiunge na channel yetu ya WhatsApp kupitia link hii: https://whatsapp.com/channel/0029VajCWj1GzzKOZcR4fL0C