✨ SMC TRADER📈📉
Статистика💨Welcome to the ✨SMC TRADER 💨We offer forex signals, business advice, and successful techniques for all traders. Giving all day CURRENCY setuup And VOLATILITY setup. 💨No charge, no cost - everything is FREE ✨owner @NasriTv
- Последний пост
- 26 авг. 2025 г.
- Последнее чтение
- 14 авг.
- Постов за неделю
- 0
- Всего постов
- 20
- Тип
- открытый
- Язык
- sn
- Категория
- Экономика
- В каталоге с
- 14 авг.
- 1/24сутки в ленте
- —
- 1/48двое суток
- —
- 1/72трое суток
- —
Оценка по просмотрам недавних постов: пост набирает почти всё за первые сутки.
Посты
Welcome to my Whatsapp community free setup and signal https://chat.whatsapp.com/BWqeL0q3BDjEa5yprJqJve?mode=ac_t
SWING TRADING📊 Kwa upande wa SWING TRADING hapa mfanya biashara hushikilia order yake kwa siku chache hadi wiki au hata miezi, Ufanyaji wa aina hizi mbili za biashara huhusiana na mahitaji ya mfanya biashara mwenyewe kwamba anaitaji kuwa mfanya biashara wa aina gani. Biashara ya siku mara nyingi haifai😰 kwa watu walioajiriwa kwa sababu ya muda wa kutosha na Vikwazo vingine, kwani mara nyingi ni muhimu kuweka jicho kwenye chati mara kwa mara hivyo huenda ikaathiri ajira yake lakini hii uwafaa zaid watu wenye muda wa kutosha, lakini pia kwa wasio na muda wa kutosha ni vyema kutumia SWING TRADING🤗 kwa maana huwasaidia kuweka order zao na kuziacha kwa muda mrefu hivyo huwafanya waendelee na shuguli nyingine.
📆THE MAIN TRADING SESSIONS KWA SAA ZA A.MASHARIKI 🔵New York hufunguliwa 04:00 PM mpaka 12:00 AM 🔵Tokyo hufunguliwa 02:00 AM mpaka 10:00 AM 🔵Sydney hufunguliwa 12:00 AM mpaka 08:00 AM 🔵London hufunguliwa 11:00 AM to 7:00 pm
EPISODE 2📚 Katika biashara ya FOREX👨🏽💻 tunaweza kupata faida pale bei inaposhuka na kupanda Muda wote. Tofauti na masoko mengi ya fedha ambayo yanafunguliwa saa za asubuhi na kufungwa karibu jioni mapema, Forex iko wazi masaa 24 kwa siku, isipokuwa wikendi wakati benki kubwa za DUNIA zimefungwa. Forex huwa wazi kwa wiki nzima kwa siku za kazi yaani JUMATATU mpaka IJUMAA na haimaanishi, kuwa ni lazima ufanye biashara wakati wote🤔. Inamaanisha kuwa unaweza kujenga biashara yako kulingana na ukanda wa wakati wa nchi unayoishi. KWA NINI SOKO HUFANYA KAZI SAA 24 SIKU TANO ZA WIKI?😳 Sababu ni kwamba Soko la FOREX huwa katika sessions mbalimbali kulingana utofauti wa masaa kwa nchi mbalimbali hivyo kipindi sehemu fulani soko linafungwa basi kunakua na nchi fulani inayo/iliyofungua muda huo VICEVERSA is true☺️, hivyo kfanya mzunguko kuendelea.
EURBGP UPDATE 2H:
BTCUSD 30M 📉📈
GBPUSD 1H UPDATE: PRICE IMEVUNJA DOWNTREND TUISUBILI I RETRACE KWENYE LEVEL 0.5 YA FIBONACCI FOR BUYING OPPORTUNITY
EPISODE 1📚 Biashara ya Forex inahusu ununuzi na uuzaji wa sarafu za mataifa tofauti, i. e. sarafu moja inunuliwa na nyingine inauzwa kwa wakati mmoja. Forex unajumuisha faida wakati unauza sarafu kwa bei kubwa zaidi kuliko ile iliyogharimu kununua. Soko la Fedha za Kigeni ni soko kubwa ulimwenguni kwa suala la mauzo. Kiwango cha juu zaidi cha mauzo kimewahi kukadiriwa takriban $ 5 trilioni kwa siku moja. WAHUSIKA kwenye soko hili ni benki kuu na mabenki ya kibiashara, Corporations, institutional investors, Hedge funds na watu wa kawaida kama wewe. Uuzaji wa sarafu kuu inachukua karibu asilimia 85 ya shughuli zote za kila siku. Kutokea kwa teknolojia ya kisasa imeifanya wafanyabiashara wadogo kupata faida za biashara ya Forex kupitia mifumo mbali mbali ya biashara online.
KUNA WATU WENGI SANA WAMEKATA TAMAA SABABU YA MTAJI AU WENGINE WAMEPOTEZA FEDHA NYINGI KWA 95%. Lakini labda kwa uzoefu wangu mdogo naweza nikashauri jambo. Huna haja ya kukata tamaa au kujiona hujui sababu hii ni stage tu ambayo kila mtu hupitia kwenye hii biashara cha muhimu ni wewe kuwa mwepesi kutambua wapi unakosea mara kwa mara na kujitahidi kurekebisha makosa. KUMBUKA FOREX SIO MASHINDANO JITAIDI KUFANYA KWA KUZINGATIA MISINGI ULIYOJIWEKEA JIPE MUDA WA KUJIFUNZA ZAIDI NA ZAIDI hasa kupitia makosa unayofanya. Jitaidi kuwa mtu wa WHY na HOW ukipta profit kaa uangalia HOW and WHY ulipata profit na pia ata kwenye LOSS fanya hivyo pia, iyo ndo siri ya wewe kuwa consistancy kwejyw hii biashara maana uzoefu na ujuzi ni moja ya msingi mzuri wa kuifanya hii biashara. Pia kumbukawewe kujua wakati gani niwepo sokoni na wakati gani nikae nje ya soko ndio kinga yako ya kukufanya udumu kwenye game. Hivyo basi kama umeunguza account au umepoteza kiasi kikubwa usikate tamaa bado unanafasi maana hasara uliyopata mwezi mzima inaweza futwa ndan ya siku moja.🙏🏽 TRUST ME NI MUDA TU.
TUTAKUA NA DAILY LESSON AMBAYO ITAKUA NI KILA SIKU YA WIKI NA NTATUMA KWA MFUMO WA MAANDISHI. 📚KILA JUMAPILI NITAKUA NATUMA ANALYSIS ZA WIKI NZIMA NA KATIKATI YA WIKI NITAKUA NATUMA UPDATES YA ANALYSIS ZOTE. NAOMBA SHARE IYO LINK ILI WENGI WAJIUNGE TUSOME NAO PAMOJA
https://t.me/NasrXtrick
TULIPOISHIA. PAIR ZOTE ZILIENDA SAWA SO KWA WALE AMBAO WALIFATILIA KWA UMAKINI HOPE WALIPATA KITU.
SAMAHANI KWA KUWA KIMYA KWA MUDA HII NI KUTOKANA NA MUINGILIANO WA MAJUKUMU. ILA TUMERUDI NA TUNAENDELEA PALE TULIPOISHIA🤝
100$ hit 🔥🔥✅
🔥🔥✅ take partial and hold
Technical signal Day trading Sell Usdjpy Sl 147.759 Tp1 147.082 Tp2 146.158 Manage the risk
✨EURUSD BUYING OPPORTUNITY 💨 WAITING RETRACEMENT MOVE TO REACH 0.6 OF FIBONACCI LEVEL FOR COLLECTIVE MOVE
✨EURBGP SELLING OPPORTUNITY 💨 WAITING PRICE TO HIT THE SUPPLY ZONE TO SELL
✨AUDUSD BUYING OPPORTUNITY 💨 Waiting for $$ sweep for clearly entry
✨AUDCHF BUYING OPPORTUNITY