- Последний пост
- 14 авг.
- Последнее чтение
- 15 авг.
- Постов за неделю
- 35
- Всего постов
- 35
- Тип
- открытый
- Язык
- sn
- В каталоге с
- 13 авг.
- 1/24сутки в ленте
- 8
- 1/48двое суток
- 9
- 1/72трое суток
- 9
Оценка по просмотрам недавних постов: пост набирает почти всё за первые сутки.
Посты
Muungano wa upinzani DRC wasisitiza msimamo wa mazungumzo jumuuishi ya kitaifa Muungano wa upinzani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) unaojulikana kama C64 (Coalition Article 64), umesisitiza msimamo wake wa kumtaka Rais Félix Tshisekedi kuitisha mazungumzo ya kitaifa yanayowahusisha watu wote kabla ya tarehe 15 Agosti 2026, au wachukue hatua za kisiasa. https://parstoday.ir/sw/news/africa-i140650-muungano_wa_upinzani_drc_wasisitiza_msimamo_wa_mazungumzo_jumuuishi_ya_kitaifa
Baghaei: Kimya mbele ya mabavu huvunja imani ya watu kwa utawala wa sheria kimataifa Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran, Esmaeil Baghaei, amesema kwamba pale ambapo sheria inashindwa kuchukua hatua mbele ya nguvu na mabavu, imani ya jamii ya kimataifa katika uwezekano wa kuwepo utawala wa sheria katika mahusiano ya kimataifa hudhoofika. https://parstoday.ir/sw/news/iran-i140652-baghaei_kimya_mbele_ya_mabavu_huvunja_imani_ya_watu_kwa_utawala_wa_sheria_kimataifa
Misri na Imarati zasisitiza kupunguzwa mvutano na kurejeshwa njia ya kidiplomasia kati ya Iran na Marekani Misri na Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) zimesisitiza umuhimu wa kupunguzwa mvutano na kurejeshwa njia ya mazungumzo ya kidiplomasia kati ya Jamhuri ya Kkiislamu ya Iran na Marekani. https://parstoday.ir/sw/news/west_asia-i140654-misri_na_imarati_zasisitiza_kupunguzwa_mvutano_na_kurejeshwa_njia_ya_kidiplomasia_kati_ya_iran_na_marekani
Iran: Miinuko ya Golan ni sehemu isiyotenganishwa na ardhi ya Syria Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesisitiza kwamba Miinuko ya Golan ni sehemu isiyotenganishwa na ardhi ya Syria, huku ikieleza kuunga mkono mapambano halali ya wananchi wa Palestina. Tehran imesisitiza pia msimamo wake wa kuunga mkono haki za wananchi wa Palestina na mapambano yao ya kisheria kwa ajili ya kutetea haki zao. https://parstoday.ir/sw/news/west_asia-i140656-iran_miinuko_ya_golan_ni_sehemu_isiyotenganishwa_na_ardhi_ya_syria
KIJARIDA CHA HABARI Iran: Hakuna chombo kinachoweza kupita salama Hormuz bila idhini Msemaji wa Kamandi Kuu ya Majeshi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ijulikanayo kama Makao Makuu ya Khatam al-Anbiya amekanusha madai ya Marekani kwamba meli zinaendelea kupita kwa hali ya kawaida katika Lango Bahari la Hormuz, akisema hakuna chombo kinachoweza kuvuka kwa usalama njia hiyo ya kimkakati bila idhini na uangalizi wa Iran. https://parstoday.ir/sw/news/iran-i140658-iran_hakuna_chombo_kinachoweza_kupita_salama_hormuz_bila_idhini
ILO: Mafunzo ya ufundi yatumike kukabiliana na ongezeko la ukosefu wa ajira kwa vijana Ukosefu wa ajira miongoni mwa vijana duniani umeongezeka, huku ukuaji dhaifu wa uchumi na upungufu wa nafasi mpya za kazi ukiwaweka vijana katika mazingira magumu ya kuingia katika soko la ajira. https://parstoday.ir/sw/news/world-i140644-ilo_mafunzo_ya_ufundi_yatumike_kukabiliana_na_ongezeko_la_ukosefu_wa_ajira_kwa_vijana
Israel inashikilia waandishihabari 40 wa Kipalestina katika kampeni ya kubana sauti ya haki Israel inawashikilia takriban waandishi wa habari 40 wa Kipalestina, wakiwemo wanawake watano, huku ikiongeza kasi ya ukandamizaji mkubwa ili kunyamazisha vyombo vya habari vya Kipalestina na kuzuia kuripotiwa kwa ukiukaji na jinai zake. Hayo ni kwa mujibu wa Jumuiya ya Wafungwa wa Kipalestina (PPS). https://parstoday.ir/sw/news/west_asia-i140640-israel_inashikilia_waandishihabari_40_wa_kipalestina_katika_kampeni_ya_kubana_sauti_ya_haki
Ripoti: Maafisa wa Uturuki waamini Israel ilitunga ‘njama ya Iran’ ya kumuua Trump Ripoti mpya inaonyesha kwamba madai ya njama ya Iran ya kumuua Rais wa Marekani Donald Trump wakati wa mkutano wa hivi karibuni wa NATO nchini Uturuki yalikuwa ni upotoshaji uliopikwa na shirika la kijasusi la Israel, Mossad, kwa lengo la kuvuruga mazungumzo ya Iran na Marekani yaliyolenga kumaliza kabisa uchokozi wa Marekani na Israel dhidi ya Iran. https://parstoday.ir/sw/news/world-i140642-ripoti_maafisa_wa_uturuki_waamini_israel_ilitunga_njama_ya_iran%E2%80%99_ya_kumuua_trump
Iran yasisitiza Lango la Hormuz halifunguliwi mpaka masharti yake yatimizwe Mamlaka ya Iran inayosimamia Lango Bahari la Hormuz katika Ghuba ya Uajemi imekanusha vikali madai ya maafisa wa Marekani kuhusu kufunguliwa tena kwa njia hiyo ya kimkakati ya baharini. https://parstoday.ir/sw/news/iran-i140646-iran_yasisitiza_lango_la_hormuz_halifunguliwi_mpaka_masharti_yake_yatimizwe
‘Unafiki’: Iran yashutumu Ufaransa kwa kuhubiri haki huku ikiunga mkono uhalifu wa Marekani na Israel Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Sayyid Abbas Araghchi, amelaani vikali Ufaransa na mataifa mengine kwa kujifanya mawakili wa haki za binadamu na sheria za kimataifa, wakati wakihalalisha na kuunga mkono uhalifu wa kivita unaofanywa na Israel na Marekani. https://parstoday.ir/sw/news/iran-i140648-unafiki%E2%80%99_iran_yashutumu_ufaransa_kwa_kuhubiri_haki_huku_ikiunga_mkono_uhalifu_wa_marekani_na_israel
Kongo: Mkurugenzi Mkuu wa WHO atahadharisha kuhusu mlipuko wa Ebola Baada ya kurejea kutoka ziarani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) ametahadharisha kuhusu mlipuko wa Ebola. https://parstoday.ir/sw/news/africa-i140628-kongo_mkurugenzi_mkuu_wa_who_atahadharisha_kuhusu_mlipuko_wa_ebola
Zambia yaelekea kwenye uchaguzi; Rais Hichilema anawania muhula wa pili Watu wa Zambia leo Alhamisi wanashiriki katika uchaguzi ili kuamua iwapo Rais Hakainde Hichilema atapata muhula wa pili wa miaka mitano kama zawadi ya mpango wake wa ufufuzi wa uchumi katika taifa hilo la Kusini mwa Afrika, ambalo ni miongoni mwa wazalishaji wakubwa wa shaba duniani lakini lilikumbwa na mgogoro wa madeni hivi karibuni. https://parstoday.ir/sw/news/africa-i140630-zambia_yaelekea_kwenye_uchaguzi_rais_hichilema_anawania_muhula_wa_pili
Indhari ya UN na SADC kuhusu El Niño, Kenya yatangaza maeneo yaliyo katika hatari kubwa Uchambuzi mpya wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula Duniani (WFP) unaonyesha kuwa mfumo wa hali ya hewa wa El Niño unaozidi kuimarika kwa kasi unatarajiwa kuzidisha kwa kiasi kikubwa ukosefu wa usalama wa chakula katika baadhi ya nchi zilizo katika hali hatarishi zaidi duniani hadi mwaka 2027. https://parstoday.ir/sw/news/africa-i140632-indhari_ya_un_na_sadc_kuhusu_el_ni%C3%B1o_kenya_yatangaza_maeneo_yaliyo_katika_hatari_kubwa
Jenerali: Jaribio lolote la uvamizi wa nchi kavu dhidi ya Iran litasambaratishwa Naibu wa Mambo ya Kiutendaji katika Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa utayari wa kijeshi na uwezo wa kimkakati wa jeshi hilo vimelazimisha Marekani kurekebisha malengo yake ya kisiasa mara kwa mara, akionya kuwa jaribio lolote la uvamizi wa nchi kavu dhidi ya Iran litasambaratishwa. https://parstoday.ir/sw/news/iran-i140634-jenerali_jaribio_lolote_la_uvamizi_wa_nchi_kavu_dhidi_ya_iran_litasambaratishwa
Rais wa Iran amwambia Waziri Mkuu wa Japan: Iran haijawahi kukiuka sheria za kimataifa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa Iran haijawahi kukiuka sheria za kimataifa. https://parstoday.ir/sw/news/iran-i140636-rais_wa_iran_amwambia_waziri_mkuu_wa_japan_iran_haijawahi_kukiuka_sheria_za_kimataifa
TAHARIRI Sababu na Umuhimu wa Makubaliano ya Makka Siku ya Ijumaa, Saudi Arabia, Uturuki na Pakistan zilitia saini "Makubaliano ya Makka ya Ulinzi wa Pamoja". Mohammed bin Salman, Mrithi wa Ufalme wa Saudi Arabia, Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki na Shehbaz Sharif, Waziri Mkuu wa Pakistan walitia saini makubaliano ya ulinzi wa pamoja mjini Makka, ambayo msingi wake mkuu ni kudhamini usalama wa pamoja. Kwa maneno mengine, shambulio la kijeshi dhidi ya taifa lolote kati ya mataifa hayo matatu litachukuliwa kuwa shambulio dhidi ya mataifa yote matatu, ambapo nchi hizo zimeamua kuungana mkono katika kukabiliana na tishio la namna hiyo. https://parstoday.ir/sw/news/iran-i140610-sababu_na_umuhimu_wa_makubaliano_ya_makka
Muislamu aliyeshinda kuwania Useneta Michigan atumiwa jumbe za chuki 3,000 kwa siku Uchunguzi mpya uliofanywa na Kituo cha Utafiti wa Chuki Zilizoratibiwa (CSOH) cha nchini Marekani unaonyesha kuwa jumbe za maandishi zilizomlenga Abdulraham El-Sayed, za hisia za chuki dhidi yake kwa sababu ya Uislamu wake zilifikia wastani wa 3,099 kwa siku katika muda wa wiki moja baada ya ushindi wake, ikilinganishwa na wastani wa watu 155 kila siku katika miezi miwili kabla yake; hilo likiwa ni ongezeko la asilimia 1,895. https://parstoday.ir/sw/news/world-i140614-muislamu_aliyeshinda_kuwania_useneta_michigan_atumiwa_jumbe_za_chuki_3_000_kwa_siku
Watu 95 wafariki dunia Zimbabwe baada ya kivuko kuzama kwenye Ziwa Kariba Watu 95 wamefariki dunia nchini Zimbabwe, baada ya kivuko walichokuwa wakisafiria kuzama kwenye Ziwa Kariba. https://parstoday.ir/sw/news/africa-i140616-watu_95_wafariki_dunia_zimbabwe_baada_ya_kivuko_kuzama_kwenye_ziwa_kariba
Duru za kuaminika: Saudia imepinga Misri kuingizwa kwenye Makubaliano ya Makka Saudi Arabia ilipinga Misri kujiunga na Mkataba wa Pamoja wa Ulinzi wa Makka uliosainiwa na Saudia, Uturuki na Pakistan wiki iliyopita, licha ya Ankara kutoa msukumo wa Cairo kujumuishwa kwenye mkataba huo. Hayo yameripotiwa na vyanzo vitatu vya Saudi Arabia vyenye taarifa za majadiliano yaliyofanywa juu ya suala hilo. https://parstoday.ir/sw/news/west_asia-i140618-duru_za_kuaminika_saudia_imepinga_misri_kuingizwa_kwenye_makubaliano_ya_makka
UN: Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu na Israel umeshafikia “hatua ya kusambaratika” Mratibu wa juhudi za Umoja wa Mataifa za mchakato wa amani Mashariki ya Kati, Ramiz Alakbarov, amesema Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu na Israel umefikia “hatua ya kusambaratika”, huku ongezeko la vitendo vya ukatili na mabavu vya walowezi wa Israel, upanuzi wa vitongoji haramu na ufurushwaji wa jamii za Wapalestina vikiibadilisha kwa kasi sura ya eneo hilo. https://parstoday.ir/sw/news/west_asia-i140620-un_ukingo_wa_magharibi_unaokaliwa_kwa_mabavu_na_israel_umeshafikia_hatua_ya_kusambaratika