tgindex
Последний пост
7 авг.
Последнее чтение
15 авг.
Постов за неделю
0
Всего постов
20
Тип
открытый
Язык
sn
Категория
Новости и СМИ (по похожим)
В каталоге с
15 авг.
Подписчики
932
0 за 1 дн.
Сутки
0
0,00%
Неделя
 
Месяц
 
Просмотров на пост
282
20 постов
Вовлечённость
30,3%
к подписчикам
Постов в день
0,0
всего 20
Упоминаний
0
каналов
Охват размещения
оценка
1/24сутки в ленте
31
1/48двое суток
35
1/72трое суток
38

Оценка по просмотрам недавних постов: пост набирает почти всё за первые сутки.

Посты

  • 7 авг.35из ufugajikuku

    *TANGAZO MUHIMU* *Ben Kukufarm* napenda kukutangazia kuwa kuanzia tarehe 25/08/2026 Kutakuwa na  mafunzo ya kuunda *Full automatic incubator* hivyo basi Kama wewe ni mfugaji mdogo na una ndoto ya kuongeza uzalishaji wa vifaranga basi hi ndio nafasi yako sasa karibu tukufundishe uongeze uzalishaji mafunzo hutolewa *online* kupitia group la WhatsApp  *mafunzo hufanyika kwa muda wa WIKI MBILI Kila siku huanza saa moja JIONI* Mambo utakayo jifunza ✍vifaa vya kutengeneza incubator ✍ jinsi ya kuvipata vifaa hivyo kwa urahisi ✍ Jinsi ya kuunganisha vifaa ili kuwa incubator ✍ Jinsi ya kuset joto baada ya kukamilika incubator ✍ Jinsi ya kurekebisha humidity ✍ Jinsi ya kuweka mayai katika incubator iliyo kamilika *na mengine mengi* Njia zitakazo tumika kufundishia 📌 makala 📌 sauti 📌picha 📌video Baada ya mafunzo utaweza kutengeneza incubator kubwa nyumbani kwa gharama ndogo *HUDUMA IMEBORESHWA ZAINDI* 🐓🐓🐓🐓🐓🐓 *Utapata vitabu vifuatavyo buree* 👉🏽jinsi ya kulea vifaranga ✍🏼✍🏼✍🏼✍🏼✍🏼 👉ufugaji Bora wa kuku wa asili(KIENYEJI) ✍🏼✍🏼✍🏼✍🏼✍🏼 👉🏽 mwongozo wa ufugaji Bora wa kuku ✍🏼✍🏼✍🏼✍🏼✍🏼 👉🏽Magonjwa makuu ya kuku (dalili,tiba na Kinga) ✍🏼✍🏼✍🏼✍🏼✍🏼 👉🏽 green feed poulty (how to make poulty feed) ✍🏼✍🏼✍🏼✍🏼✍🏼 👉Utengenezaji wa chakula Cha kuku 👆🏽👆🏽👆🏽👆🏽👆🏽👆🏽 Vitabu vyote hivi utavipata vikiwa katika mfumo wa *PDF* Unachotakiwa ni kuhudhuria mafunzo ya utengenezaji incubator ili uweze boresha ufugaji wako Lipia Ada ya mafunzo ya incubator tsh 15000  tu upate vitabu Bora buree kabisa. Ada ya mafunzo ya incubator inatumwa kwenye LIPA namba ya mpesa 353552960 jina BENEDICTO JOSEPH MGATA au VODACOM 0746124684 jina *BENEDICTO MGATA* zimebaki siku chache lipia Ada mapema ili uungwe kwenye group mapema kuepusha usumbufu

  • 2 июл.104из ufugajikuku

    *ABC ZA MATUMIZI YA CHANJO* 👉Kwanza Kabisa ifahamike chanjo Kwa kuku sio Chaguo ni Lazima Kwa usalama wa KUKU wako 👉Pia kuchanja kuku sio Kwa vile unavojiskia Ila Kwa Ratiba maalumu inayowekwa kutokana na umri wa kuku *HATUA ZA KUFUATA ZA KUTUMIA CHANJO IPASAVYO* 👉Nunua chanjo, kama inahitaji ubaridi hakikisha umefungiwa kwenye kifungashio Chenye barafu. 👉Safisha vyombo vya maji vya kuweka chanjo yako na ikifaa viache vikauke. 👉Kwa maji ya BOMBA, KISIMA NA MVUA, inashauriwa yachemshwe na uyaache yapoe kabisa ndipo utachanganya na chanjo. 👉Iwapo UTATUMIA vidonge vya kutibu maji MFN CEVAMUNE, CHLOREX BLUE, VACC-SURE nk. Utatakiwa kuloweka kidonge kwenye maji yasiyo na chanjo na changanya vizuri Kwa kifaa cha plastic, 👆Acha maji hayo yakae Kwa dakika 15-30 kisha changanya na chanjo yako. 👉Kama utatumia maziwa SKIMMED MILK weka grap 2 Kwa Lita moja ya Maji changanya vema na uache Kwa dakika 30. *UFUNGUZI WA CHANJO* 👉Kwa chanjo za Kuchanganya kwenye maji, Utakiondoa kichupa Chenye chanjo kwenye barafu yako au Friji 👆Utatakiwa kufungua chupa hiyo yenye kidonge cha chanjo ikiwa ndani ya Maji ambayo umesha yaandaa Kwa Kuchanganya chanjo yako. 👆Ukigungua koroga maji vema kuhakikisha chanjo imeenea kwenye maji 👆Wape kuku wako wanywe Kwa Muda WA masaa mawili. 👆Ondoa maji ya chanjo na uoshe vyombo vyako, kisha weka maji ya kawaida kuku waendelee kunywa. *KWA CHANJO YA NDUI* 👆Fungua chupa yenye maji ya Kuchanganya kwenye kidonge 👆Kisha Fungua chupa yenye kidonge 👆Kisha mimina maji ya Kuchanganyia kwenye kidonge cha chanjo na utikise kilainike 👆Anza kuchanja kuku wako OFA OFA OFA Kuanzia tarehe 27 mwezi wa saba 2026 kitakuwa na mafunzo ya uundaji incubator yenye bonge la punguzo kwenye mchango wa mafunzo badala ya kulipia tsh 15000 kwa mwezi huu wa saba utalipia tsh 10,000 tu  mafunzo ya uundaji incubator yatafanyika kupitia group maarumu la Whatsapp tutafundisha kwa video,picha makala za maandishi na makala za sauti mchango utatumwa kwenye LIPA M-PESA 353552960 jina BENEDICTO JOSEPH MGATA ukihitaji maelezo number 0746124684 au 0625728535 nakutakia maandalizi mema offer hii itaisha tarehe 25-7-2026 karibu sana Jifunze matumizi ya mapapai na mbegu za mapapai kwa kuku angalia video hii kwa link 👇👇👇👇 https://youtu.be/vMdlkU-SIPs

  • 30 июн.82из Dict24

    https://youtube.com/shorts/l506WQ0zQOE?feature=share

  • 12 июн.128из ufugajikuku

    https://chickenfarmidea.blogspot.com/2026/06/15-common-reasons-your-eggs-arent.html

  • top 10 mistakes new poultry farmers make https://chickenfarmidea.blogspot.com/2025/07/top-10-mistakes-new-poultry-farmers-make.html

  • 8 июн.137из ufugajikuku

    https://chickenfarmidea.blogspot.com/2025/07/how-turning-poultry-manure-into.html

  • 18 мая177из ufugajikuku

    без подписи

  • https://t.me/kingstars2bot?start=_tgr_F7yD9DgyNThk

  • 3 апр.273из ufugajikuku

    без подписи

  • 30 мар.236из ufugajikuku

    без подписи

  • 30 мар.192из ufugajikuku

    без подписи

  • Umeandika maelezo mazuri sana na yenye thamani kwa mfugaji 👌 — nitakupangia sasa poster ya kuvutia ambayo unaweza kuitumia Facebook/WhatsApp kwa urahisi: Kama unataka, naweza pia: Kutengeneza poster yenye picha halisi (image design) tayari kupost Au kuongeza nembo/jina lako (mf. BEN KUKUFARM au JOSEPH) juu ya poster Niambie style unayotaka (ya kisasa, rangi kali, au simple) 🎨

  • Nikukumbushe tu..... Kuanzia tarehe 23/03/2026 kutakuwa na mafunzo ya uundaji full automatic incubator mafunzo haya hufanyika kupitia group maarumu la Whatsapp ambamo tutafundisha kwa kutumia video,sauti,picha na makala za maandishi *kama wewe pia unahitaji kujifunza* usisite kuwasiliana nasi kupitia simu number *0746124684* na *0625728535* mchango kwa Kila anayehitaji kujifunza ni TSH 15,000 tu na unatakiwa kulipwa kwa lipa number ya Vodacom 353552960 jina *BENEDICTO JOSEPH MGATA* nawatakia maandalizi mema

  • Habari za muda huu hii ni list ya vitabu nilivyo navyo 1.ufugaji Bora wa kuku na wenye tija 2.misingi ya ufugaji wa kuku wa asili. 3.magonjwa ya kuku tiba na Kinga 4.utengenezaji wa vyakula vya kuku. 5. Utengenezaji wa vyakula vya kuku wa kienyeji 6.jinsi…

  • *CHANJO CHANJO CHANJO NI MUHIMU* 👉Katika kipengele muhimu ambacho mfugaji hapaswi kukipuuza ni chanjo kwa kuku, Kwani chanjo huongeza kinga ya kuku kupambana na vimelea vya ugonjwa husika kabla haujaanza kushambulia kuku Zipo chanjo za aina tofauti tofauti…

  • JE UNATAKA MAFANIKIO KWENYE UFUGAJI? SOMO: MENGI USIYOJUA KUHUSU KUKU AINA YA KUROILER. 🤔 HIVI KUROILER ni NINI? Huwenda kutokana na ugeni wa neno hili bado kukawa na watu ambao hawajajua vizuri ni nini kinachomaanishwa na neno hili. Neno "KUROILER"…

  • 18 дек.534из ufugajikuku

    https://youtu.be/ebgh2gB0oKo

  • без подписи

  • 4 окт. 2025 г.6021из ufugajikuku

    без подписи

  • 30 сент. 2025 г.557из ufugajikuku

    без подписи