tgindex
WAFALME

Tunahamasisha Afya na Ustawi wa Wanaume, Maisha ya Utakatifu, Utambuzi, Uhuru, Uchaguzi na Maamuzi kuwa na tija na thamani ya kifalme, Twitter;https://x.com/MfalmewaX?t=OLOAYq7BPedSghp WhatsApp only +255 628 908 000 Telegram; https://t.me/ommyfitness

Последний пост
17 июн.
Последнее чтение
15 авг.
Постов за неделю
0
Всего постов
20
Тип
открытый
Язык
und
Категория
Новости и СМИ (по похожим)
В каталоге с
12 авг.
Подписчики
7 083
−43 за 5 дн.
Сутки
−19
−0,27%
Неделя
 
Месяц
 
Просмотров на пост
2 577
20 постов
Вовлечённость
36,4%
к подписчикам
Постов в день
0,0
всего 20
Упоминаний
0
каналов
Охват размещения
оценка
1/24сутки в ленте
1/48двое суток
1/72трое суток

Оценка по просмотрам недавних постов: пост набирает почти всё за первые сутки.

Посты

  • 17 июн.2 144131

    без подписи

  • 3 июн.2 647111

    Insulin resistance ni chanzo cha ishu nyingi ikiwemo kisukari, presha, cholesterol kuzidi, magonjwa ya moyo, figo kufeli n.k Insulin resistance husababishwa na ulaji mwingiwa wanga, sukari, ngano, kula mara kwa mara, kula muda mbaya n.k Insulin resistance haina dalili wala maumivu yeyote ila dalili ya kwanza kubwa no kitambi. Mtu mwenye insulin resistance Inamchukua miaka 5-10 kupata kisukari. So kitambi sio ishara ya maisha mazuri ila ni bomu la sekunde kulipuka. Kuelekea mwezi wa 12 (December) mwezi wa sikukuu kuna program ya kupungua uzito na kujenga mwili nimeandaa kwa ajili yako. Bado miezi 6 tu kufika Christmas na Mwaka mpya, miezi hii inatosha kukufanya usherekee na familia & marafiki ukiwa na mwili mpya kabisa, anza sasa. Kama Unahitaji kusimama na kuongozwa Kwenye safari hiyo kwa diet au mazoezi nitumie neno COACH WhatsApp 0628908800, nitakupa muongozo. Kujiunga na channel yangu, https://whatsapp.com/channel/0029VbBVv5n4Y9lf6q7gdX0l #ommyfitness #trainerwataifa

  • 3 июн.2 32272

    Asilimia 80 ya kolesteroli yako hutengenezwa na ini. Kwa hiyo, kulingana na nadharia ya kolesteroli na ugonjwa wa moyo, je, ini lako linajaribu kukuua? Ini lako hutengeneza asilimia 80 ya kolesteroli kwa makusudi kwa sababu mwili wako unaihitaji kuendelea kuishi. Homoni. Utendaji wa ubongo. Ukarabati wa seli. Vitamini D. Kupunguza inflammation. Vyote hivi vinahitaji kolesteroli. Pia, kadiri unavyozeeka, ni kawaida kiwango cha kolesteroli kuongezeka kwa sababu ini lako linajaribu kufidia kwa kuzalisha homoni zaidi, hasa homoni za sex. Wazo kwamba ini lako mwenyewe ndilo tishio kubwa zaidi kwa afya ya moyo na mishipa yako ni mojawapo ya imani potofu zilizoingiza faida kubwa zaidi kuwahi kutokea. Dawa za statin zipo ili kurekebisha tatizo ambalo mwili wako haulitambui. Mtumie yeyote anayeamini cholesterol ni mbaya Kujiunga na program zangu nitumie neno COACH WhatsApp 0628908800 Kama unaamini afya yako ni utajiri wako wa kwanza, jiunge nasi https://whatsapp.com/channel/0029VbBVv5n4Y9lf6q7gdX0l

  • 21 мая2 442191

    Dear wafalme, Wanawake ni wabovu kwenye makuzi ya watoto hasa pale unapokuwa Mwanaume dhaifu. Kadri unavyopunguza makali yako ili mwanamke akupende huanza kukuchukulia wa kawaida na heshima yako hupungua. Huanza kujihisi anamudu masculinity chaos hivyo atapambana muachane na anajua Dunia na mahakama zitamsaidia. Hii ni Moja ya familia ambayo ilikuwa na Dad na sio Father. Huyu mwanamke amewachukua watoto wake wamsaidie kumpata Mwanaume atakayelipa Bill zake. Anajua hawezi kulea peke yake ndio maana anatafuta mwanaume kwenye uzee wake, Anajiuza kwa staili ya namna yake sana ili apate ulinzi wa Mwanaume, fedha lakini pia awe na utawala juu ya huyu Mwanaume. Kila kitu kimepangwa kama mnavyoona. Sikia wanawake hawawezi kulea mtoto pekee yao ila udhaifu wa wanaume wa sasa umefanya wavae masculinity role. Na kumbuka pia, single mothers hawahitaji upendo wala mapenzi yako, wanachohitaji ni msaada wako na kamwe usitarajie atakupenda kama anavyowapenda watoto wake. Follow for more @mfalmewax

  • 21 мая2 0132

    без подписи

  • 21 мая1 8981

    без подписи

  • 21 мая1 8001

    без подписи

  • 21 мая2 03512

    Dear wafalme, Wanawake hawana huruma kabisa kwa wanaume laini, nice guys "Sikuwahi kumpenda" "Sikuwahi kumuomba zawadi wala gari" "Niko na yuleyule mwanaume aliyempiga kwa kunitongoza. Lol" "Tutaonana mahakamani, Bwana Nice Guy" Ninaposema Mwanaume imara sio Kimwili Bali kuhisia na ukomavu wa kiakili pia - sikia, unaweza kuwa mbavu na bado ukawa mpumbavu. Najua misuli ni ishara namba moja ya Mwanaume anayejiheshimu lakini Kuna soy boys wameingia gym wamejaza miili ila akili zao ziko empty. Huyu jamaa anaitwa Larry Wheels. Ni bodybuilder, jina lake la utani hujiita "strongman" Ameachwa na Mke wake, Influencer wa mazoezi Šejla Đakovac, na Larry bado alivyokuwa-simp, alisema ataendelea kugharamia maisha ya Šejla pamoja na kuitunza gari (Bentley) aliyomnulia. Larry ni mtu anayedhani misuli, zawadi, hela na kumnyenyekea Mwanamke ingemsaidia, fikra potofu badili hiyo, hata misuli yako iwe mikubwa kiasi gani kama utaendelea kuwa simp hakuna kitakachobadilika. Haijalishi una pesa kiasi gani au unajitoa kiasi gani, kama wewe ni simp, wanawake bado watakutumia na kukuacha. Masimp siku zote wanapoteza muda, pesa, heshima (Losers). Lesson; -Mwanamke anataka kuongozwa, sio usawa -Huwezi kumbadilisha Mwanamke asiyekupenda kwa zawadi -Pesa unazompa zinanunua uchi wake, uchi ambao mwingine anapewa Bure -Kugombana na Mwanaume mwingine kwa sababu ya mwanamke asiyekutaka ni ushamba -Hakuna kitu utafanya ili mwanamke akupende, kama asipokupenda mwenyewe -Wanawake hawana huruma juu ya wanaume dhaifu -Wanawake hawajali kuhusu sadaka wala unavyojitoa kwao Focus na michongo yako, Mwanamke anayekutaka atakufanyia wepesi kwenye kila kitu ili kumpata, sometimes anaweza kukutongoza mwenyewe kwa sababu upendo una nguvu hivyo kamwe usimuone Malaya. Jiunge nasi kwenye group la wafalme Leo, https://whatsapp.com/channel/0029VaD731LJpe8p59Cs943d #mfalme #mfalmewax

  • 4 мая2 357121

    Kama AI angepata kansa, angefanya hivi! Hakikisha unafanya mazoezi hasa kunyanyua vitu vizito, unafunga, unakula vizuri, unatembea, unapata mwanga wa jua, kulala & kunywa maji vizuri. Pia kumbuka, usichoweza kula hakikisha hukupati kwenye ngozi yako. We are moving.

  • 3 мая2 23422

    https://youtu.be/UFqLmJ1zV9U?si=FeJnmWY5JtbbHdKJ

  • Follow for more @mfalmewax #mfalme #mfalmewax https://www.instagram.com/p/DXgBN6TCAvC/?igsh=cjliOGU4cWc4eDhj

  • 24 апр.2 483163

    Nimekuja kugundua wengi wana homa. Tumia hii; Kitunguu saumu + Tangawizi + Limao + Asali husaidia kutibu: 🌿Kifua kikuu 🌿Mafua na homa 🌿Kinga ya mwili iliyo dhaifu 🌿Maumivu ya viungo (arthritis) 🌿Nimonia 🌿Maumivu ya koo 🌿Homa 🌿Kikohozi 🌿Cholesterol ya juu Chukua kiasi sawa cha kitunguu saumu na tangawizi. Visage pamoja na juisi ya limao, asali, na maji kidogo. Kisha chuja ili kupata majimaji yake. Kunywa vijiko viwili vya chakula mara mbili kwa siku. Asili Inatibu.

  • без подписи

  • 22 апр.2 313156

    Wanaume, uwezo wako kitandani unategemea kwa asilimia 80 kile unachokula kila siku - hakuna miujiza. Wanaume wengi wanakula matakataka na vyakula vya ovyo, halafu wanatarajia kuwa na nguvu za farasi dume kitandani - hiyo haiwezekani. Tilia mkazo vyakula hivi 7 na utakuwa na nguvu zaidi kitandani (Hifadhi huu ujumbe). 1. Mayai Mayai ni moja ya vyakula vyenye nguvu sana. Yamejaa protinina mafuta mazuri yanayosaidia uzalishaji wa homoni. Pia yana cholesterol, ambayo husaidia kutengeneza testosterone. Ikiwa homoni zako ziko chini, kula Mayai mwanangu. 2. Spinachi Spinachi ina magnesiamu kwa wingi, madini ambayo wanaume wengi wanakosa. Magnesiamu husaidia kulegeza mishipa ya damu na kuboresha mzunguko wa damu, jambo muhimu kabisa kutafuta heshima - Unahitaji damu ya kutosha mahali husika. 3. Samaki aina ya sangara & dagaa Wana mafuta ya omega-3 ambayo husaidia afya ya moyo na kupunguza inflammation mwilini. Moyo wako unasimamia mzunguko wa damu, na mzunguko huo unaamua jinsi mwili wako unavyofanya kazi. Kama damu haisafiri vizuri, hakuna kinachofanya kazi ipasavyo ikiwemo uume wako. 4. Mbegu za maboga Mbegu za maboga zina zinki kwa wingi, ambayo ni madini muhimu sana kwa wanaume. Zinki ina jukumu kubwa katika kusawazisha homoni na afya ya uzazi. Zinki kidogo = testosterone kidogo. 5. Ndizi Ndizi zina potasiamu nyingi, inayosaidia ishara za neva na utendaji wa misuli. Pia husaidia kudumisha nguvu na kuzuia uchovu. Kama nguvu zako zinashuka haraka, utendaji wako pia utashuka. 6. Kitunguu saumu Napenda kumeza kila siku - Kitunguu saumu kina viambato vinavyosaidia kuboresha mzunguko wa damu na kupunguza mafuta yanayoziba mishipa. 7. Parachichi Parachichi lina mafuta mazuri na vitamini E, ambavyo husaidia afya ya homoni. Kupata Mpangilio wa chakula, program zangu za kupungua, kuondoa kitambi na kupona magonjwa sugu nitumie neno COACH WhatsApp 0628908800 We Are Moving. #ommyfitness #trainerwataifa https://whatsapp.com/channel/0029VbBVv5n4Y9lf6q7gdX0l

  • 20 апр.2 530104

    On point

  • 11 апр.2 806121

    Habari yako mkuu lakni samahani piah!!nipo na umri wa miaka 23 natafuta kazi nipo kigambon dar es Salaam kama unaweza nisaidie kwa kupost ii memo kwa channel yako kak!! 0753832512

  • 20 мар.3 831141

    https://whatsapp.com/channel/0029VaD731LJpe8p59Cs943d

  • 20 мар.3 61382

    https://whatsapp.com/channel/0029VaD731LJpe8p59Cs943d

  • 20 мар.3 141102

    https://whatsapp.com/channel/0029VaD731LJpe8p59Cs943d

  • 8 мар.4 0927717

    PROGRAM YA WAFALME - RATIBA YA WIKI 1. Amka 4am 2. Kaa kwenye kona na be grateful kwa kuamka 3. Kunywa glass ya maji yenye chumvi kidogo 4. Piga push-ups 50, Squats 50 na crunches 50 5. Fanya mazoezi ya kegel kwa dakika 15 6. Piga mswaki kwa mkono wa kushoto, usitumie dawa zenye fluoride 7. Oga maji ya baridi, usitumie sabuni zenye kemikali nyingi 8. Achana na mlo wa asubuhi hupati kitu zaidi ya ngano na sukari 9. Kula aina moja ya protini kila siku aidha nyama, samaki au mayai 10. Usiangalie taarifa ya habari wiki hii 11. Soma makala za afya - Usitumie Google 12. Panda ngazi sio lift, tembea hatua 6k kila siku 13. Usile baada ya saa mbili usiku 14. Meza vitunguu swaumu punje 3 na maji ya kawaida au vuguvugu 15. Lala mapema, epuka scrolling distractions. Ikawe wiki njema kwako na familia