tgindex
AFYA YAKO LEO

https://t.me/Huduma

Последний пост
14 авг.
Последнее чтение
15 авг.
Постов за неделю
24
Всего постов
66
Тип
открытый
Язык
sn
Категория
Новости и СМИ (по похожим)
В каталоге с
12 авг.
Подписчики
1 902
−4 за 4 дн.
Сутки
−1
−0,05%
Неделя
 
Месяц
 
Просмотров на пост
32
40 постов
Вовлечённость
1,7%
к подписчикам
Постов в день
3,4
всего 66
Упоминаний
0
каналов
Охват размещения
оценка
1/24сутки в ленте
27
1/48двое суток
30
1/72трое суток
33

Оценка по просмотрам недавних постов: пост набирает почти всё за первые сутки.

Посты

  • 👨‍🏫 @Jitibu Daktari bingwa aufafanua Ugumba, abainisha wanaume pia wanahuka kuleta changamoto hii https://youtu.be/A5Qa6RUHWNw?si=UHLI1vQy6IPTq4ik

  • 👨‍🏫 @Jitibu Kuelewa Changamoto za Kupata Ujauzito (Ugumba): Sababu za Kibaolojia, Athari za Mtindo wa Maisha, na Tiba kwa Wanawake na Wanaume https://youtu.be/A5Qa6RUHWNw?si=WZrPx9KaKx9MLtuA

  • 👨‍🏫 @Jitibu Kunywa maji ya kutosha husaidia kuzuia chumvi chumvi na taka sumu kuganda na kutengeneza Mawe kwenye Figo ambayo huweza kuziba mirija inayosafirisha mkojo na kusababisha Figo kushindwa kufanya kazi zake. Video ni kwa Hisani ya ‘Sekoutourerrh’, elimu ikitolewa na Bingwa Bobezi wa Magonjwa ya Figo, Dkt. Oswin Mwemezi.

  • Figo 😭💔 Figo 😭💔 Figo 😭💔️ 👨‍🏫 @Jitibu

  • 👨‍🏫 @Jitibu Chumvi iliyoandaliwa chini ya usimamizi wa serikali kwa kufuata miongozo ya Shirika la Afya Duniani ndio hushauriwa itumike zaidi kuliko ile ya kienyeji ya mawe kwasababu ina Madini Joto hitajika yanayosaidia kukukinga na Ugonjwa wa Goita huku za mawe zikikosa madini hayo muhimu. Dkt. Naufal Kassim, Bingwa wa Pua, Mdomo na Koo alishauri kupitia Zanzibar Outreach Program TV

  • 👨‍🏫 @Jitibu Tumia maji ya ukwaju kuondoa mafuta na sumu mwilini kwa ufanisi mkubwa https://youtu.be/wnAUvo9TOwc?si=qoI-k9tdt3uOmFPR

  • без подписи

  • без подписи

  • без подписи

  • 👨‍🏫 @Jitibu 🦞Hii inauma mno,waliopata wanaelewa nachomaanisha. walioko kwenye hatari ya kupata hali hii ni wanaong'ata kucha,wanaofua mara kwa mara,wanachimba kwa mikono,wenye tumbo,wenye kisukari,wanaotengeneza kucha na wanaoweka kucha bandia,wenye makucha marefu,walioumia kw akugonga kidole au kucha,wenye matatizo kama kansa,figo,moyo au ukimwi,wanaopima oil kila mtu. ukipata hali hii wahi haraka ikiwa inaanza ili upate dawa ikauke hara,aidha ikishafika hatua hii lazima patumbuliwe kisha uendelee kumeza dawa za kukausha Usisahau ⚠️ kupima 🧪 H. Pylori 🦠,dundumio 🦋,mafuta 🩸,sukari 🍬,brusela 🧫. Haya matatizo 😷 ni balaa jipya 🚨 mjini ⚠️. #doktamathew 🩺 #fyp 🎥 #highlights ✨ #viral 🚀🔥

  • 👨‍🏫 @Jitibu Mbinu 5 zenye nguvu kubwa unazoweza kutumia kutibu kikohozi kwa njia za asili https://youtu.be/60Pvf6hNW1E?si=oI4zlMFre2chH2a6

  • Nafasi Ya Kazi: Marketing & Advertising Officer – Dar es Salaam https://telegra.ph/Nafasi-Ya-08-12

  • 👨‍🏫 @Jitibu Bingwa wa Magonjwa ya Uzazi na Wanawake, Dkt. Lilian Remigius Mnabwiru akizungumza kupitia 'Tumaini Tv' amekumbusha umma kuwa chanzo moja wapo cha 'UTI' kwa watoto ni kuchelewa kubadilishiwa pampasi kwani vimelea kutoka kwenye haja kubwa huweza kuingia kwenye Njia ya Mkojo na kusababisha maambukizi, hivyo walezi na wazazi wajitahidi kuzibadilisha kwa wakati.

  • 👨‍🏫 @Jitibu Aina mbalimbali za uchafu unaotoka ukeni, sababu, maana yake na matibabu https://youtu.be/mhDbC2_4RSA?si=C5TiCfRc68PwDDdU

  • 👨‍🏫 @Jitibu Mabadiliko 10 Mwili wako utapata ukila punje mbili za Kitunguu Saumu kila siku https://youtu.be/Y7SUJ3NDJFo?si=HK5Bn7aGjRTd_4-R

  • 👨‍🏫 @Jitibu Daktari Bingwa wa magonjwa ya wanawake na uzazi, Godfrey Chale anafafanua umuhimu wa usafi na uandaaji salama wa vyakula, hasa mboga mboga na saladi kama kabichi na kachumbari, akieleza kuwa ni vyema zikashwa vizuri na kupikwa au kupashwa moto badala ya kuliwa zikiwa mbichi ili kuepuka madhara ya kiafya. Akizungumza kupitia Malkia Choice FM, Dkt. Chale anaeleza kuwa mboga kama kabichi hujifunga majani na kuficha wadudu, mayai ya minyoo, au mabaki ya kemikali za dawa za kilimo zilizopigwa shambani, hivyo zikiliwa bila kuoshwa na kupikwa vizuri zinaweza kusababisha matatizo ya tumbo na maambukizi, na anahimiza kuzingatia usafi na utayarishaji bora wa chakula ili kulinda afya

  • 👨‍🏫 @Jitibu Fahamu mbinu 6 mbadala za kuzuia ugonjwa wa UTI ya kujirudia https://youtu.be/v6jqwe3LNYA?si=NJOGyDYCAoFFMUBG

  • 👨‍🏫 @Jitibu Daktari Bingwa wa magonjwa ya wanawake na uzazi, Godfrey Chale anashauri umuhimu wa wazazi kuchunguza muonekano wa korodani za watoto wa kiume kabla hawajafikia umri wa balehe ili kuwaokokoa dhidi ya changamoto zinazoweza kutokea ambazo huathiri mfumo wao wa uzazi kutokana na kupotea kwa uwezo wa kurekebishika. Akizungumza kupitia Malkia Choice FM, Dkt. Chale anatoa pia wito kwa wazazi kutokuwa wabishi pindi wanapopewa ushauri na madaktari kuhusu matibabu sahihi ya changamoto za kutoonekana kwa korodani kwani matibabu ya mapema huwa na ufanisi zaidi.

  • без подписи

  • без подписи