Mr Health | Afya Kiganjani📲🩺
СтатистикаLearn Something New About Your Health Every Day Contact @itsmrhealth For Businesses.
- Последний пост
- 13 июл.
- Последнее чтение
- 13 авг.
- Постов за неделю
- 0
- Всего постов
- 20
- Тип
- открытый
- Язык
- английский
- В каталоге с
- 13 авг.
- 1/24сутки в ленте
- —
- 1/48двое суток
- —
- 1/72трое суток
- —
Оценка по просмотрам недавних постов: пост набирает почти всё за первые сутки.
Посты
»Code 1 Sehemu ya 03« Dear mwanaume... Sasa nataka nikuulize swali ambalo wengi hulikwepa kwa sababu linaumiza mnoo.... > "Ni lini ulianza kuuzoesha mwili wako kupata msisimko kupitia video za ngono na punyeto...?" Usikimbilie kujibu... Fikiria kwa utulivu. Kila tabia unayoirudia mara kwa mara hujenga njia mpya ndani ya ubongo wako..... Ubongo haujifunzi kwa maneno... Hujifunza kwa marudio..... Kama kwa muda mrefu umezoea pono na kujichua mara kwa mara, Ubongo huanza kuhusisha msisimko wa kingono na kile unachokiona kwenye skrini badala ya ukaribu wa kweli na mpenzi wako..... Ndipo mwanaume huanza kushangaa...👇 "Mbona nikiwa peke yangu nahisi msisimko... Lakini nikiwa na mwenzi kujiamini kunapungua...?" Au... "Kwa nini hamu ya tendo imeanza kupungua..?" Wengi hudhani tatizo ni la nguvu za kiume pekee... Lakini mara nyingi hatujiulizi kama kuna tabia ambazo zimekuwa zikibadili namna mwili unavyoitikia hali ya msisimko wa kweli..... Na hapo ndipo wanaume wengi huingia kwenye mtego mwingine... Badala ya kutafuta chanzo cha tatizo... Huanza kutafuta suluhisho la haraka.... ↳ Vidonge... ↳ Booster... ↳ Madawa ya kupaka kwenye uume.... ....tatizo halipo kwenye dawa unazokosa..Bali kwenye tabia ambazo bado hujaamua kuzibadilisha... Broo....mwili wako unaweza kutibiwa....Lakini kama chanzo kinaendelea kila siku..... Tatizo linaweza kuendelea kujirudia....👇 Ndiyo maana mwanaume mwenye hekima hajiulizi tu.. "Nitumie nini?" Hujiuliza kwanza... "Ni tabia gani ninapaswa kuacha ili mwili wangu upate nafasi ya kufanya kazi kama ulivyoumbwa...?" ....Kwa sababu mabadiliko ya kweli hayaanzi kwenye chupa ya dawa... Yanaanzia kwenye maamuzi unayoyafanya kila siku... Kama sehemu hii imekufungua macho nipe Like, kisha tuendelee na »Code 1 Sehemu ya 04«....💫
»Code 1 Sehemu ya 02« Mwanaume... Kuna ukweli mmoja ambao wengi huuchelewa kuuelewa... "Afya yako ya kesho huanza kujengwa na maamuzi unayofanya leo" Niulize kwa nini...? Kwa sababu mwili wa binadamu hubadilika taratibu kulingana na mtindo wa maisha unaourudia kila siku..... Hakuna anayekuwa na afya bora kwa bahati. Na hakuna anayepoteza afya kwa siku moja. Sikuzote mabadiliko hutokea kimya kimya.... Kisha baadaye huanza kuonekana kupitia dalili... Ndiyo maana maamuzi yako ya kila siku yana umuhimu mkubwa. .....Ukichagua lishe bora, usingizi wa kutosha, mazoezi ya mwili, kudhibiti msongo wa mawazo na kufuatilia afya yako mara kwa mara... Unauwezesha mwili wako kufanya kazi kwa ufanisi....NA ukipuuzia misingi hiyo kwa muda mrefu... Mwili huanza kutuma ishara za tahadhari... Moja ya maeneo yanayoweza kuonyesha mabadiliko hayo mapema ni afya ya uzazi.... ↳ Kupungua kwa hamu ya tendo... ↳ Ume kutokuwa imara wakati wa tendo... ↳ Kushuka kwa kujiamini... Mara nyingi si tatizo linalojitokeza ghafla.... Huenda vikawa ni viashiria vinavyoonyesha kuwa kuna mabadiliko yanayotokea kwenye afya yako kwa ujumla...... Kumbuka... Uanaume haupimwi kwa uwezo wa kuficha dalili..... Unapimwa pia kwa uwezo wa kufanya maamuzi sahihi yanayolinda afya yako kabla matatizo hayajawa makubwa.... Sasa jiulize kwa uaminifu... swali hili.... Je, maamuzi unayofanya leo yanaijenga afya yako ya uzazi...? Au... Yanaiweka kwenye hatari ya kupata changamoto zinazoweza kutibika mpaka kufa kwako..? Na kama leo ungefanya tathmini ya afya yako... Je, majibu yangekupa utulivu...? Au yangekuonyesha kuna mambo yanahitaji kuboreshwa? Mwanaume mwenye hekima hasubiri mwili upige kelele. Huchukua hatua mapema kwa sababu anatambua kuwa kinga na uelewa ni sehemu muhimu ya afya bora.... Kama umejifunza jambo kwenye sehemu hii, weka REACTION kisha tuendelee na Sehemu ya 03....✊🏻
»Code 1 Sehemu ya 01« Habari Mwanaume, Natumai umeamka salama na unaendelea vizuri. Leo nataka tushare jambo ambalo wanaume wengi hulikwepa kulizungumzia... 👇 "Kwa Nini Wanaume Wengi Hupoteza Nguvu Za Kiume Taratibu Bila Kugundua?" Moja ya maswali ninayoulizwa mara nyingi ni... "Daktari, mbona hamu ya tendo imepungua?" Au... "Kwa nini uume hausimami kama zamani, Nakushindwa kuunganisha bao zaidi ya moja..?" Ukweli ni huu... Wanaume wengi wanadhani upungufu wa nguvu za kiume huanza ghafla.... Mara nyingi huanza kimya kimya, Utagundua kupitia dalili kama... • Kutosimama kwa uume wakatiwa asubuhi... • Kupungua kwa hamu ya tendo... • Kushindwa kudumu wakati wa tendo... • Kukosa kujiamini kila unapokaribia kushiriki tendo la ndoa.... Baada ya hapo... Wengi huanza kutafuta njia za haraka. Wengine hujaribu dawa mbalimbali... Wengine huamini kila tangazo wanaloliona mtandaoni... Lakini swali lakujiuliza ni hili......👇 Je, umewahi kujua CHANZO cha tatizo lako ni nini? Kwa sababu... Tatizo la kusimama kwa uume si ugonjwa...Linaweza kuhusishwa Na.... Mzunguko wa damu, mfumo wa neva, homoni, magonjwa sugu kama kisukari au shinikizo la damu, matumizi ya baadhi ya dawa, afya ya akili, msongo wa mawazo, au mtindo wa maisha... Ukishughulikia dalili pekee... ...na ukaacha chanzo halisi, Tatizo linaweza kuendelea kujirudia. Ndiyo maana mwanaume mwenye hekima haanzi kwa kutafuta... "kiongeza nguvu". Anaanza kwa kutafuta sababu..... Jiulize maswali haya..... 1. Dalili zilianza lini..? 2. Je, una magonjwa sugu au unatumia dawa zozote..? 3. Usingizi wako, lishe na mazoezi yako yakoje...? 4. Je, msongo wa mawazo au hofu vinaathiri maisha yako ya kila siku..? Majibu ya maswali hayo yanaweza kutoa mwanga mkubwa kuhusu kinachoendelea ndani ya mwili wako... Mwanaume kumbuka..... Uume wako ni kiashiria cha afya ya mwili mzima.... Ukiona mabadiliko ya muda mrefu kwenye nguvu za kiume, usipuuzie.... Ni wakati wa kutafuta tathmini sahihi ili kubaini chanzo na kupata ushauri unaofaa..... Afya bora ya uzazi huanza kwa kuelewa mwili wako, si kwa kuficha dalili, kwa madawa na booster za nguvu za kiume.... Je, umewahi kuona mojawapo ya dalili hizi....?
Kama Wewe ni miongoni mwa Mliosubiri kwa Hamu Kurudi na Kuendelea na Huduma katika Channel Hizi Weka Emoji Hapa🔥
Kuna watu wanasema.. “Nimezoea kuumia.” Lakini ukweli ni kwamba, hakuna moyo unaozoea maumivu... Kinachotokea ni hiki...👇 Mtu hujifunza kuficha hisia zake ili asionekane dhaifu mbele za watu... Ndiyo maana unaweza kuona mtu yupo sawa nje, Lakini ndani anavunjika kimya kimya..... Na jambo hatari zaidi ni hili.... Watu wengi wanaohitaji msaada zaidi, ndio wanaosema... “Mimi niko sawa.” Usipuuzie uchovu wa akili yako. Kupumzika sio udhaifu. Kujipa muda wa kupona sio kushindwa. Wakati mwingine, uponyaji unaanza siku unapoacha kujilazimisha kuonekana imara kila saa....🫵 ~Mr Health
Kwako mwanamke, Kama wakati wa hedhi unaona damu yenye mabonge (blood clots)...👇 ↳ Kutoka mabonge makubwa kuliko kawaida (zaidi ya ukubwa wa sarafu) ↳ Kubadilisha pedi mara kwa mara kila baada ya muda mfupi... ↳ Kujisikia udhaifu, kizunguzungu, au uchovu mwingi... NB: Binti hiyo ni dalili ya muhimu kiafya ambayo hupaswi kuipuuzia..🫵 Mabadiliko yasiyo ya kawaida ya hedhi ni ishara inayoweza kuhusishwa na changamoto za afya ya uzazi... ↳ Mvurugiko wa homoni (Hormonal imbalance) ↳ Uvimbe kwenye mfuko wa uzazi (Uterine fibroids) ↳ Maambukizi ya mfumo wa uzazi ↳ Unene wa ukuta wa mfuko wa uzazi (Endometrial thickening) Usidanganyine na midawa mitandaoni, Kuimarisha afya yako ya uzazi hakikisha unaenda hospital...🩺
Broo, Kama bado una hamu ya tendo, Unasisimka kawaida, na mwili wako unaitikia msisimko…🍆 Kama huna kisukari, presha, matatizo ya figo, tezi dume, wala ugonjwa wowote wa kudumu... Lakini bado unashindwa kudumu zaidi ya dakika 30–45 unapokuwa na mwenzi wako kitandani.. Ukweli wa kitabibu ni huu...👇 Huo sio udhaifu wala sio upungufu wa nguvu za kiume, Ni msongo wa mawazo unaoshambulia mfumo wako wa neva wakati wa tendo..... → Kitaalamu huitwa (Performance Anxiety Sexual Disorder)... Hali ambayo akili yako inaanza kupigana na mwili wako badala ya kufurahia tendo, unaanza kufikiria, ↳ Nitadumu kweli..? ↳ Nikishindwa je..? ↳ Atanichukuliaje..? Nakuamsha homoni ya stress (cortisol) ambayo huua kabisa homoni ya stamina (testosterone) na mtiririko wa damu kwenye uume...☠️ Matokeo yake...👇 Unakuta mwili wako una uwezo, Lakini akili yako inakusaliti unapokuwa na mtoto mzuri kitandani.. Na cha kusikitisha zaidi, Wanaume wengi huanza kujilaumu, kujiona wameharibika, na kukimbilia “Booster” na dawa mitandaoni...🥲 Wakati tatizo lao liko kwenye mfumo wa saikolojia na wala siyo kwenye uume.. Leo nataka ujue na kujifunza ukweli huu...👇 — Wewe haujavunjika.. — Wewe hujaishiwa nguvu... — Wewe haujachelewa.. Unahitaji tu elimu sahihi katika mwongozo sahihi marekebisho ya akili, homoni, na mfumo wa mwili.. Broo, na hilo linawezekana bila kuharibu afya yako kwa madawa au booster za nguvu za kiume... — Kama uko tayari kuelewa ukweli wa mwili wako, badala ya kuishi kwa hofu... Nimekuwekea Link hapo chini, soma kwa makini, usipite juu juu, Maisha yako ya nguvu bado yapo mikononi mwako....👇 https://mr-health-huduma-ya-afya-kiganjani.gr-site.com/
MWANAUME Kama unataka uimara wa afya yako ya uzazi, lazima ukubali kubadilisha mtindo wako wa maisha kwa wivu mkubwa sana... Kama unataka machine imara 🍆 na inayodumu, wakati wa tendo lazima upitie nidhamu ya mwili na akili— si kutegemea madawa (booster) Kama unataka kujiamini kitandani bila hofu, lazima ukubali kujifunza, kujitathmini, na kuacha tabia zinazokuangusha....📌 Broo, Hakuna shortcuts kwenye afya ya uzazi, Afya bora inajengwa, haimezwi...✊️
Katika miongozo ninayoitoa kila siku, kosa kubwa linalowarudisha nyuma wanaume wengi ni kutaka kujipima....☠️ Unakuta kijana amepiga hatua kubwa, ameboresha mzunguko wa damu, misuli imeanza kufanya kazi, uume unakaza...🍆 Lakini mara moja anataka kujua kama “amepona” kwa kufanya majaribio ya mapema.... Broo... Hilo ndilo kosa kubwa zaidi....👇 Kwasababu “kujipima” sio kipimo cha afya, bali ni trigger ya cheap dopamine— ile raha ya sekunde chache inayokuaminisha “nimepona” Wakati ubongo wako bado haujarekebisha mfumo wa neural control inayosimamia nguvu zako za kiume. ipo hivi... 👇 Kila unapojaribu kujipima bila kuwa tayari kisaikolojia, unaamsha upya neural pathway ya performance anxiety— "Hali ya kuogopa kushindwa" Ubongo wako huanza kuhusisha tendo la ndoa na hofu badala ya msisimko wa asili...☠️ Matokeo yake..? 👇 Nguvu zinapungua, erection inakuwa hafifu, na unarudi nyuma hatua tatu...💔 Hivyo basi, tiba ya kweli haipo kwenye “kuona kama imekaa vizuri,” Bali kwenye kujenga msingi wa saikojia imara, kuondoa hofu, kurejesha utulivu wa akili, na kujenga stamina ya kiakili kabla ya mwili...💪 NB: Uume hauwezi kuwa na nguvu endelevu bila utulivu wa neva (neuro-relaxation), Mabadiliko ya mwili ni matokeo, sio chanzo— Chanzo kiko kwenye ubongo wako....🫵 Na leo nataka wanaume wachache wachukue hatua ya kweli— Si ya kihisia.... Natoa nafasi 15 Tu kwa wanaume wanaotaka kujifunza jinsi ya kurejesha nguvu zao kisaikolojia — Bila dawa wala Booster... Gusa link sasa hivi hapo chini, chukua mwongozo wako kabla nafasi hazijaisha.... Usirudie kosa nguvu hujengwa kichwani kabla haijajengwa kitandani..Tukutane WhatsApp inbox...We Go.👇 https://mr-health-huduma-ya-afya-kiganjani.gr-site.com/
Heri ya Mwaka Mpya 2026! 🎉✨ Nakutakia mwaka uliojaa afya njema, amani ya moyo, na mafanikio ya kweli, Ukiuanza na maamuzi sahihi ya lishe na mtindo bora wa maisha kwa ustawi wa mwili na akili... ❤️🩺
Uraibu wa Punyeto— Sumu Ya Kimya Inayoua Ndoto za Wanaume...🩺 Hakuna kitu kinachoonekana kidogo lakini kikaharibu maisha ya mwanaume kimyakimya kama uraibu wa punyeto..... Huu siyo mchezo wa starehe tena— Ni mfumo wa kisaikolojia unaouharibu mfumo wako wa homoni, nguvu za kiume, ubongo, na hata roho yako ya ushindi.... Ni zaidi ya voltage ya umeme wa viwandani — Unapoanza unafikiri unaweza kuacha muda wowote ukitaka...Lakini mwili wako hauko tena upande wako.... Kila unavyorudia, dopamine inakosa utulivu— Ubongo wako unakuwa Mgonjwa wa raha za haraka, na Matokeo yake Ni.... ↳ Uvivu, kukosa hamasa na maamuzi dhaifu... ↳ Kushuka kwa testosterone hormone, Nguvu za kiume kupotea. ↳ Hofu, aibu na kujiamini kushuka chini ya sifuri. ↳ Mhemko kubadilika, usingizi kuharibika, hata maono ya maisha kufifia.... ↳ Hisia kali kwenye kichwa cha uume (Penile hypersensitivity) Hali inayo pelekea kuwahi ndani ya dakika moja, Hata ukigusa tu mashavu ya Uke. ↳ Uume kunywea, kusinyaa nakuwa mdogo kama wa mtoto mdogo... NB: Kitaalamu, uraibu huu huanzisha mnyororo wa upotevu wa nishati ya ubongo (neuro energy) Na huathiri mfumo wa fahamu unaosimamia msisimko, furaha na ubunifu.... Unapochezea mfumo huo mara kwa mara, ubongo wako hujifunza kutegemea punyeto kama chanzo cha utulivu Na kujiridhisha— Hapo ndipo maisha yako yote yanapinduka..... Broo, anza leo kujinasua, 2026 ni mwaka wako wa Uimara wa afya yako ya uzazi....👇 Ukombozi wako hauanzi kwa Madawa, unaanza kwa kujua chanzo, kuelewa mwili wako, na kurejesha udhibiti wa ubongo wako..🫵 Kama kweli una nia ya kujinasua kwenye uraibu huu na kurejesha nguvu zako za kiume, saikolojia imara, na nidhamu ya maisha… — Fungua mwaka 2026 Ukiwa ndani ya miongozo tiba ya kuimarisha afya yako ya uzazi, homoni Na kuokana na Uraibu wa punyetoo... Bofya link, Soma kwa makini, Anza safari ya ukomavu wa kweli wa afya yako ya uzazi...👇 https://mr-health-huduma-ya-afya-kiganjani.gr-site.com/
Kama upo na miaka 25+ ni Muda sahihi wa...👇 1. Kupunguza Wanga... 2. Kupunguza Sukari.... 3. Kupunguza Chumvi... 4. Kutoka jasho mara kwa mara, Kupitia Mazoezi 💪 5. Kuwa na mwenza unayemfurahia... 6. Kuwa na hobies angalau tatu... ↳ Inayokupa furaha. ↳ Inayokupa elimu. ↳ Inayoingiza pesa. NB: Miaka 25+ siyo Uzee…Ni kipindi ambacho makosa madogo ya lishe na mtindo wa maisha hujenga hatari kubwa kimya kimya... Unene, kisukari, shinikizo la damu, kupungua kwa nguvu za kiume, afya ya uzazi, Na uchovu wa kila siku... Huu ndiyo wakati wa kufanya maamuzi sahihi, ili kulinda afya wako kwa miaka 50+ ijayo... By Mr Health A sound of health | Jifunze na chukua hatu kuboresha afya yako...💊🫡
3. Mbinu ya tatu, "The Psychological Reboot" Ni mbinu inakayo ondoa hofu, Na kurudisha ubongo kwenye performance mode ndani ya sec 30–60. Kila mwanaume wenye hali ya kushindwa kurudia bao, uume legelege au kuwahi kufika kileleni, Na kupoteza mchezo ndani ya dakika 1 tu— Tumia mbinu hii.... Siku Zote....👇 Ukishindwa kwenye akili, Mwili hautakusaidia hata siku moja.. Ndiyo maana Psychological Reboot ni muhimu, ni reset ya sekunde chache inayouondoa ubongo kwenye presha, hofu na kelele za ndani kabla ya tendo la ndoa.. Psychological Reboot ina muundo wa hatua tatu, na kila hatua inalenga sehemu tofauti ya ubongo. Kila hatua ina kazi yake, Lakini zikiungana huleta matokeo katika stamina, Utulivu na performance ya mwanaume rijali..... → Hatua ya kwanza..Kustop Internal Pressure..👇 Ubongo unapokujia na hofu kama “Nitashindwa… Sitasimama… Nitafika mapema…” —Wanaume wengi huanza kupambana na mawazo hayo, Hapo ndipo ubongo unapopandisha cortisol, homoni ya kuzima msisimko....☠️ Lakini Psychological Reboot inakufundisha kitu kimoja, Kamwe usikimbie hofu ikamate.. Ndiyo ikamate.. Unapokubali wazo bila kulipinga, ubongo unaamini uko salama, na ndani ya sekunde chache, cortisol homoni hutolewa... Pumzi inakata katikati ya game, Mwili unalegea, na Blood flow inaanza kurudi, Broo hapo lazima uume ulegee...💔 → Hatua ya pili...Sensory Grounding (Kuituliza akili kwenye Present moment...👇 Hapa unatakiwa kuamisha akili kutoka kwenye presha ya matokeo kwenda kwenye hisia halisi za mwili.... Ubongo unapo focus kwenye mguso, joto la ngozi, miguno ya mwanamke na uhalisia wa muda huo— unatoka kwenye mode ya “what if” Na kuingia kwenye mode ya “I’m here” 🍆💦 Broo, Hapo utaichapa bila presha, Bila hofu, katika hali ya utulivu, Unapata control ya mwili mzima, na swala kuwahi kufika kileleni na uume legelege itabaki kuwa historia... → Hatua ya tatu, Mental Reframing, Hatua hii ndiyo hit point ya Psychological Reboot... Ubongo haujui tofauti kati ya picha unayoiona kwa macho na picha unayowaza.... Ukiupa ubongo picha ya kushindwa, Unashindwa, Ukiupa ubongo picha ya utulivu, stamina na uwezo— Siku zote mwili unatii....🍆 Mental reframing inafuta picha ya kushindwa kichwani na kuiweka picha ya mwanaume aliye na control, aliye imara, aliye huru.... Kwa kufanya hivi kabla ya tendo, unafungua milango yote ya msisimko wa asili bila presha. ↳ Kuunganisha Bao la pili, ↳ Stamina inarudi fasta, ↳ Mwili unawasiliana na ubongo tulivu, NB: Ukiunganisha hizi hatua tatu, Kustop internal pressure, Kufanya sensory grounding, na Kufanya mental reframing.... —Ubongo unaingia kwenye hali ambayo kitaalamu huitwa "optimal sexual excitation" Msisimko uliodhibitiwa vizuri, pumzi iliyo tulivu, ubongo ulio huru, na blood flow inayotembea bila kuzuiliwa...🍆💦 Hii ndiyo mbinu iliyowasaidia wanaume zaidi ya 1000+ mwaka huu kupunguza hofu, kurudisha erection, na kurejesha uwezo wa kurudia tendo bila vidonge vya Booster.... Kama umesoma mpka hapa, Hongera sana, Leo tumeona jinsi Psychological Reboot inavyofanya kazi….🩺 Lakini kumbuka...👇 Mbinu hizi tatu zinakuwa na matokeo ya kudumu zikiwa ndani ya mfumo wa siku 30, Uliopangiliwa hatua kwa hatua bila kuruka.... Na kwa sababu sitaki mtu yeyote kuanza safari hii bila mwongozo sahihi... Natenga nafasi 50 tu, za wanaume nitakaowapa mwongozo kamili, mpangilio, na hatua za kufuata bila kuruka.... Broo, ifike wakati unajipa nafasi ya kurudisha nguvu zako za kweli ulizo zaliwa nazo, Sio za vidonge, sio za booster, bali zilizopo ndani yako.🫵 Nafasi hizi 50 ndiyo zitapata mwongozo, Moja kwa moja bofya link hapo chini, Soma kwa makini utaratibu kisha tukutane WhatsApp DM....👇 https://mr-health-huduma-ya-afya-kiganjani.gr-site.com/
Usijisahau ndani ya UBIDA PROGRAM zimebaki siku 31 kufunga mwaka 2025…. Swali ni moja Tu...? Je, Una uhakika unaugonga mwaka 2026 ukiwa umeimarisha afya yako ya Uzazi...? Siku zote, Nguvu ya mwanaume huanguka kwanza kwenye akili kabla haijaanguka kwenye uume...👇 Leo nakufundisha MBINU 3 KUU za Kisaikolojia za kujenga mindset ya mwanaume rijali.. 1. Mbinu ya kwanza, "Mental Pressure Control" Zuia Performance Pressure mapema.... Wanaume wengi hupoteza nguvu kwa sababu ya..👇 ↳ Hofu ya kushindwa.. ↳ Kujilinganisha na wengine.. ↳ Mawazo ya awali ya kushindwa kitandani.. ↳ Overthinking kabla ya tendo.. Hofu hizi huamsha sympathetic nervous system, ambayo hupunguza..👇 ↳ Blood flow kwenye uume ↳ Hamu ya tendo la ndoa (Libido) ↳ Hisia kwenye kichwa cha uume (Penile sensitivity) ↳ Uimara wa kusimama kwa mashine (erection) Ukianza kupunguza pressure ya akili → Unafungua njia ya afya yako ya uzazi ....🩺 2. Mbinu ya pili "Dopamine Reset" Fanya Dopamine Reset kila siku.... Uraibu wa video za Ngon* punyet* huathiri stimulation ya ubongo na kupunguza...👇 ↳ Testosterone homoni... ↳ Erection quality (Uume kusimama imara) Na ↳ Stamina Bedroom... Fanya Dopamine reset program (dakika 5—10) Kabla ya tendo la ndoa...👇 ↳ Deep Nasal Breathing (1 minute), Pumua ndani kwa sec 4 → shikilia kwa sec 2 → toa kwa sec 6. Rudia set 5 kwa ndani ya dakika 1, Hii inashusha cortisol na kufungua Reward pathways wakati wa tendo la ndoa.... ↳ Silent Focus (2–3 minutes), Kaa kimya, Elekeza mawazo kwenye mwili wako, Maumbile yako 🍆, Jiulize Leo nataka mwili wangu ufanye kazi kwa ubora gani...? Kwa dakika 3 Hapa ubongo unarudisha natural baseline ya dopamine.... ↳ No Goal Stillness (2 minutes), Kaa bila kutafuta hisia, Hii ni hatua muhimu sana, haswa kwa wale wanao pitia hali ya uume legelege baada ya bao la 1...💦 Hapa Unaupa ubongo nafasi ya kurejesha sexual sensitivity pamoja na Natural arousal... Epuka kutafuta hisia kwa namna yeyote ile, Usi shike shike uume wala kuusugua kwenye mashavu ya uke, Usivute hisia kwa kufikiria video za ngon* au kumfikiria mwanamke mwingine....⚠️ PS; Hizi ni mbinu mbili tu, Na zitakupa zaidi ya 70% ya matokeo yenye nguvu, confidence na uzazi imara. Lakini kumbuka… 👇 Imebaki mbinu mmoja tu, Mbinu ya kufunga kazi… Ni mbinu ambayo imewasaidia zaidi ya wanaume 1000+ mwaka huu, kuimarisha afya ya uzazi pamoja na Confidence ya kiume waliyoipoteza kwa miaka mingi.... Sio kila mtu huwa na nafasi ya kuipata.. Lakini leo, Nitakupatia BURE... Lakini kabla sijakupa mbinu hii ya mwisho, Nahitaji REACTIONS 👍 za wanaume 500+ Kabla ya saa 6 kamili usiku..... Kisha nitarudi hapa kukamilisha mada hii— mbinu ambayo inabadilisha wanaume kutoka katika “hofu” hadi “uimara.” So Let’s do this..🫰
Ukinielewa Katika Elimu Hii, Swala la nguvu za kiume kwako litabakia historia ndani ya siku 14. Mwisho wa October ni Mwanzo wa Uimara Bila Dawa Bila Booster...👇 — Elimu hii nimekuandalia kwa lengo mmoja tu, Kukufumbua macho juu ya afya yako ya uzazi, Kuanzi hapa itakuwa mwisho wa upungufu wa nguvu za kiume kwa wanaume wote...Ndani ya jukwaa hili....🔥 Ipo hivi... Upungufu wa nguvu za kiume (erectile dysfunction - ED) Unaweza kusababishwa na sababu mbalimbali, ambazo zinaweza kugawanyika katika makundi makuu matatu.... — Kabla ya kufafanua makundi hayo, Ni muhimu sana kutambua kwamba nguvu za kiume zipo ndani yako huna haja ya kutumia dawa yeyote..🫵 1. Sababu za Kisaikolojia (Psychogenic Factors).. Hizi ni changamoto za kiakili na kihisia zinazoathiri moja kwa moja neuroendocrine system— Mfumo unaounganisha ubongo, homoni, na mzunguko wa damu kwenye uume.... ↳ Hofu ya Kushindwa, Wasiwasi, na Msongo wa Mawazo (Performance Anxiety & Stress), Huchochea utolewaji wa homoni za cortisol na adrenaline zinazozuia utulivu wa mishipa ya damu, hivyo kuzuia uume kusimama imara.... ↳ Hisia Kali (Emotional Hypersensitivity), Huchochea sympathetic activity katika mfumo wa neva, na kusababisha kuwahi kufika kileleni (premature ejaculation) au kutoweza kudhibiti msisimko... — Kwa ufupi, akili ikichoka— uume huzima, Afya ya kiume huanza kwenye utulivu wa akili...🫵 2. Sababu za Kimihemko na Uraibu (Addiction Disorders) Kundi hili linahusisha mabadiliko ya kitabia na kisaikolojia yanayoathiri mfumo wa homoni, ubongo, na hisia.. ↳ Uraibu wa Video za Ngono na Punyeto, Uraibu huu huathiri mfumo wa dopamini hormone ambayo ni (neurotransmitter ya raha na motisha). ↳ Kadri mtu anavyozidi kujihusisha na tabia hizo, ubongo huzoea viwango vya juu vya dopamini vinavyosababishwa na msisimko wa bandia... Matokeo yake....👇 ↳ Hisia halisi za hamu ya tendo (Libido) hupungua katika mahusiano na mwanamke wako... ↳ Kiwango cha Testosterone hupungua taratibu, na ubongo huanza kuhitaji msisimko wa picha kali zaidi ili kuhisi raha... Uraibu huu hubadilisha mfumo wa ubongo na Kusababisha hali iitwayo Porn Induced Erectile Dysfunction (PIED)— Upungufu wa nguvu unaotokana na kutazama picha za ngono... — Hii ndiyo sababu tunasema.. “Kiume hakifi kwa umri, bali kwa tabia....🫵 3. Sababu za Kiafya (Organic na Physiological Causes) Kundi hili linahusisha mabadiliko ya kimaumbile na kimfumo inayoathiri mishipa ya damu, homoni, na neva zinazohusika na uimara wa uume... ↳ Kisukari (Diabetes Mellitus), Husababisha neuropathy (uharibifu wa neva) na angiopathy (uharibifu wa mishipa midogo ya damu). ↳ Shinikizo la Damu (Hypertension), Mvutano wa damu unaoendelea huharibu endothelium ya mishipa, hupunguza nitric oxide ambayo ndiyo kichocheo kikuu cha kusimama kwa uume... ↳ Matatizo ya Homoni, Upungufu wa testosterone, thyroid disorders, au mabadiliko katika prolactin levels huathiri hamu na uwezo wa kihisia, na hivyo kusababisha erectile dysfunction (ED)... NB: Ili kurejesha uimara wa afya yako ya uzazi— bila dawa, bila Booster na bila hofu— Anza kwa kufuata miongozo ya kitaalamu ni liyo kuandalia nitakayo kupa Leo....👇 — Kumbuka, katika safari ya kufikia afya bora ya uzazi, mwili wako una uwezo wa kujiponya ukipewa Mwongozo tiba sahihi..... Dawa za kuongeza nguvu za kiume hutoa matokeo ya muda, lakini hujenga utegemezi wa kudumu, huathiri mfumo wa homoni, na huishia kuua uwezo wako wa asili hatua kwa hatua.... Kama umekuwa ukipambana na tatizo hili kwa muda mrefu bila mafanikio — Huu ndio wakati wa kuanza safari yako ya uponyaji halisi..👇 Bonyeza Link hapo chini, Soma kwa Makini Chukua Miongozo yako sasa, Tukutane WhatsApp...👇 https://mr-health-huduma-ya-afya-kiganjani.gr-site.com/
Siku zote, Akili inapofungwa, hata mwili hauwezi kuwa huru... 😔 Haswa katika kipindi hiki ambacho maisha yanazidi kuwa magumu kwa wengi, Msongo wa mawazo, hofu, na maumivu ya ndani.... Kutoa hisia zako Si udhaifu, Ni hatua ya kwanza ya kujiponya...🩺 Siku zote, Afya ya akili ni uti wa mgongo wa taifa lenye Matumaini..🧠 Hope mpo Salama wanafamilia, Nipe LIKE 👍 Kama Tunakopamoja katika jukwaa hili la Afya Kiganjani...🤳
Unaposikia neno DETOX Usifikirie sumu ya panya, au ni kwa mtu aliye kunywa sumu, HAPANA..! Detox ni nini..? — Ni mchakato unaotokea ndani ya mwili kila siku, pale ini, figo na damu zinaposhirikiana kusafisha mwili kutoka kwenye taka sumu zinazojikusanya taratibu kutokana na vyakula, hewa chafu na msongo wa mawazo. Lakini kuna siri ambayo wengi hawajui... kuna vyakula vinavyoweza kuongeza kasi na ufanisi wa huu mchakato. Na moja ya mashujaa wa kimya katika familia ya detox ni BEETROOT tunda au mboga nyekundu inayong’aa kama damu..... Kwa nini Beetroot..? ↳ Ina betalains, antioxidant yenye nguvu inayosaidia ini kuvunja sumu na kuondoa haraka. ↳ Huchochea mtiririko mzuri wa damu, hivyo kubeba sumu na taka mwilini kwa ufanisi. ↳ Hupunguza oxidative stress, moja ya chanzo kikubwa cha magonjwa sugu... ↳ Huweka mwili kwenye hali ya alkaline, kupunguza mazingira ya magonjwa... Fikiria hivi… mtu anayeishi kwenye jiji lenye hewa chafu, anakula vyakula vya haraka (junk foods) kila siku, na hana muda wa mazoezi... Taratibu mwili wake hujaa taka na sumu, hali ambayo hupelekea uchovu wa mara kwa mara, kupungua kwa kinga ya mwili na hata mabadiliko ya homoni (hormone imbalance). ipo hivi... ↳ Imbalance ya homoni kama insulin, cortisol, testosterone, estrogen hutokana pia na sumu mwilini na mfumo wa maisha usio na usawa... Na hapa ndipo Beetroot Detox inapoleta ukombozi — Husaidia kurejesha usawa wa homoni na nguvu za mwili.... Lakini kumbuka Beetroot pekee haitoshi, Ili kufanikisha mchakato wa detox na kurekebisha homoni zako... ↳ Fanya mazoezi mara kwa mara (angalau dakika 30 kwa siku). ↳ Punguza vyakula vilivyosindikwa na sukari nyingi. ↳ Kunywa maji ya kutosha, Pata muda mzuri wa kupumzika, walau masaa 7-8 USIKU.... NB: Beetroot ni formula ya ukombozi wa afya yako, Ongeza kwenye juisi, au saladi yako ya kila siku.... Mwili wako utakushukuru… Beetroot Detox, Siri ya asili ya kuondoa sumu, kurudisha nguvu na kusawazisha homoni zako.🩺 Kama wewe ni mdau active wa Mr Health | Afya Kiganjani Nipe LIKE👍🏿 Kama ishara tupo pamoja.🫡
Utafiti uliochapishwa kwenye Journal of Nutrition (2016) ulionyesha kuwa ulaji wa garlic fresh hupelekea ongezeko la mtiririko wa damu kwenye corpus cavernosum... — Eneo kuu la uume linalojaa damu wakati wa erection...🍆 Kwa lugha nyepesi, huamsha mfumo wa damu wa uume— na kurudisha Mlingoti uliokuwa legelege...💪
Dawa za Kukata Hedhi kwa Dharura— Urembo au Hatari ya Siri Unayojiwekea..?🤔 “Hello Mr Health… Kuna mwanaume kaniambia twende vacation, natamani kwenda ila tatizo nipo siku zangu…Naomba dawa ya kukata hedhi..” Niliposoma ujumbe huu…Nikabaki kimya, Nilihisi huzuni ndani yangu...😢 Si kwa sababu ya maumivu ya hedhi, bali kwa namna tunavyopambana kuficha uhalisia wa miili yetu ili kutimiza matarajio ya wengine..☠️ Ipo hivi...👇 Kila mwezi, mwili wa mwanamke unafanya kazi kubwa ya kujiandaa kupokea maisha mapya. Ni mzunguko wa asili unaoonyesha afya, usawa wa homoni, na nguvu ya uzazi.... Lakini sasa, wengi wanauona kama kero— Kitu cha kufutwa, kucheleweshwa au kuzimwa kwa vidonge visivyoeleweka, eti kwa sababu kuna vacation..🥲 Hizi dawa za kukata hedhi ghafla (hormonally suppressive drugs) siyo “shortcut ya starehe” Ni mchezo wa homoni unaoweza kuleta madhara makubwa zaidi hapo badae...👇 ↳ Kuvuruga mzunguko wa hedhi kwa miezi kadhaa.💔 ↳ Kusababisha maumivu ya tumbo, kichefuchefu, na hata mabadiliko ya hisia...💦 ↳ Kuathiri uwezo wa kupata ujauzito baadaye, (early menopause) yaani mwili wako unaanza kufunga kizazi kabla ya wakati wake...☠️. ↳ Na mbaya zaidi— Kuongeza hatari ya damu kuganda (blood clots), Haswa kwa wanaotumia bila ushauri wa daktari...🩸 Nafahamu utajiuliza Kumbe Dawa zipo Na dakitari anaweza kumuandikia mtu atumie? Kivipi na huku umesema Nihatari..🤯 Ipo hivi...👇 → Dawa hizo hutolewa kwa mwanamke mwenye umri wa miaka 45+ ambaye kachelewa kupata menopause.... Husaidia kudhibiti hedhi nzito, maumivu makali, au kuzuia uvimbe wa uterasi... Lakini hata hivyo hutumika chini ya uangalizi wa kitaalamu, kwa vipimo maalum, na kwa muda uliopangwa..... — Nashangaa wewe kibinti cha 2000 unayetaka kukata hedhi kwa sababu eti kuna vacation, au kesho unasafari...? Maskini ndo kwanza hujuwi hata kama unauwezo wa kushika Mimba....😁 — Embu jiulize, kama mama mwenye miaka 45+ anatumiwa dawa hizo kwa uangalizi mkali wa daktari— Wewe kajamba nani unahangaika nini.? 😅 NB: Mwanamke mwenye hekima hawezi kuruhusu homoni zake “zipigwe marufuku” Kwa ajili ya mapumziko ya siku tatu na Sponsor 🤑 Hedhi si udhaifu —Ni ishara ya mfumo wako wa uzazi kufanya kazi sawasawa...Hivyo, kabla ya kukata hedhi kwa dawa, jiulize kwanza....👇 Je, Ninakata hedhi kwa muda au ninakata afya yangu ya uzazi moja kwa Moja...? 🤔 Kama upo na mimi Gonga LIKE 👍, By Mr Health A sound of health | Jifunze na chukua hatu kuboresha afya yako...🩺🫡
Uko tayari kwa mabadiliko halisi ya kiafya.? Tuanze challenge Tiba ya wiki hii inayoanza kesho.🩺 Wiki hii tunaanza safari ya kujenga mwili, akili, na nguvu kwa njia ya asili— Hakuna maneno, Ni vitendo Tu. 🔥 ↳ Kunywa maji walau lita 2–3 kila siku 💦 –Safisha mwili wako kutoka ndani.... ↳ No sigara 🚭 wala pombe 🍺 –Epusha sumu na uharibifu wa homoni.... ↳ Hakuna kujichua na video za ngonoo ❌ –Linda nguvu zako za kiume na saikolojia yako.... ↳ Epuka ngono zembe– Kuwa makini na afya yako ya uzazi... ↳ Mazoezi (KEGEL seti 3 kila siku 🏋️) – fufua misuli ya nyonga na ongeza stamina Bedroom 🍆💦 ↳ Kula matunda 🍉 na mboga mboga 🥦🫑 Kila siku– Lishe bora ni tiba ya kwanza.... ↳ Lala masaa 7–8, Lala Uchi 😴, Soma kitabu kimoja 📚 Wiki hii – tuliza akili, ongeza maarifa, fanya meditation therapy....🧘♂️ Jiunge na “CHALLENGE TIBA YA WIKI HII” sasa, Tuanzie pamoja safari ya afya, nguvu, na utulivu wa mwili...🩺 Kama uko tayari kushiriki nasi safari hii ya tiba ya asili— Kuimarisha afya ya mwili, saikolojia, Na nguvu zako...💪 Gonga Like 👍 Nahitaji Reactions 999+ Kama ishara kuwa Utashiriki nasi challenge ya wiki Hii... By Mr Health A sound of health | Jifunze na chukua hatu kuboresha afya yako...🩺🫡