tgindex

POWER VPN UNLIMITED

описание

KAZI HIENDELEEE KARIBU TUJIFUNZE PAMOJA NA MR POWER VPN UNLIMITED

1 198
подписчиков
Охват к подписчикам
82,0%
ERR
Реакции к просмотрам
0,19%
35 на 19 постов
Пересылки к просмотрам
0,12%
22
Постов в день
0,0
всего 20

Где отзываются чаще

доля реакций к просмотрам
  • 17 мая 2025 г.POWER VPN UNLIMITED Expired 25-5-2025 Speed 🐌🐌🐌 VPN: HTTP CUSTOM💛 💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜 https://t.me/luhovero26code 💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜 💜TELEGRAM CHANNEL💜POWER VPN UNLIMITED0,48%
  • 11 мая 2025 г.https://whatsapp.com/channel/0029Vb9ykfx2v1IrtoMyYt26 CHANNEL YANGU MPYA WHATSAPP FOLLOW0,47%
  • 15 июл. 2025 г.*its a brand new day ila hit ni ile ile🔥🔥🔥* *naomba ukatizane na tukarudie kuitizama upya video yangu mpya kwa jina la "OYAAH WEEH"* _BANDO MC FT IBRAAH_ Ikikupendeza share kwa marafiki zako 20 alafu nitumie screenshot utakua umetisha ✊🏾✊🏾✊🏾✊🏾✊🏾 https://youtu.be/4SPVATI1DgM?si=V3raGKhMPLr-7gBX0,46%
  • 8 июн. 2025 г.Kama uikua hujui kuwa kupitia SIMU YAKO unaweza kutambua TETEMEKO LA ARDHI wacha nikufahamishe;- Watu wengi wanatumia simu kwa mawasiliano, Pamoja na kutuma pesa tu lakini hawajui kuwa, Simu ina uwezo wa kutambua hapo ulipo, Muda mchache ujao tetemeko la ardhi linaweza kutokea, Au kama unatembea huko mbele kuna tetemeko la ardhi, Au huko unako kwenda muda mchache ujao tetemeko la ardhi litatokea, Na kukufahamisha wewe kwa kukupigia alarm, Sasa leo kupitia grupu hili la Maajabu Ya Dunia wacha nikufahamishe, Unaweza kushangaa na kubisha hili jambo, Lakini huo ndiyo ukweli kwamba simu hasa za smart phone, Zina uwezo wa kutambua kuwa sehemu fulani ulipo, Au unayo kwenda muda mchache ujao litatokea tetemeko la ardhi, Tena zina uwezo wa kutambua hadi mile 26.5 sawa na kilometa 45.56, Kutoka eneo ulipo hapo yaani ndani ya umbali huo, Simu yako ya smart phone inaweza kutambua, Na kukujulisha kwa kukupigia alarm maalumu kuwa,0,41%
  • 24 мая 2025 г.POWER VPN UNLIMITED Expired 31-5-2025 Speed 🐌🐌🐌 VPN: HTTP CUSTOM💛 💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜 https://t.me/luhovero26code 💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜 💜TELEGRAM CHANNEL💜POWER VPN UNLIMITED0,40%
  • 11 мая 2025 г.HILI FILE LA TTCL📶 LIPO SLOW LINAFAA KWA KUCHATIA WHATSAPP TU LIKO FRESH TENA MNALA USOME #4G 🔥🔥🔥🔥0,35%
  • 16 июн. 2025 г.*1 MILLION VIEWS ON YOUTUBE* *FOR FREE*📺 First, make sure you have installed git and Python version between 3.7.x to 3.11.x Open command prompt and type : git clone https://github.com/MShawon/YouTube-Viewer.git --depth 10 cd YouTube-Viewer python -m pip install --upgrade pip wheel pip install "setuptools<59" pip install -r requirements.txt For Linux / Mac : 💻❤️ First, make sure you have installed git and Python version between 3.7.x to 3.11.x Open your favourite terminal and run : git clone https://github.com/MShawon/YouTube-Viewer.git --depth 10 cd YouTube-Viewer python3 -m pip install --upgrade pip wheel pip3 install "setuptools<59" pip3 install -r requirements.txt For More help / installation / Ussage 🐱https://github.com/MShawon/YouTube-Viewer?tab=readme-ov-file ⚠️ For more information and use of this tool in termux visit github link of this tool. 👨‍💻 https://t.me/+U45-apcSfFtjYzVk0,25%
  • 29 апр. 2025 г.Karibu kwenye BOGOBOX App - mahali ambapo burudani inaishi kwa ladha ya Kiswahili! Ndani ya app hii, utaweza kutazama movie zilizotafsiriwa na madeejay maarufu kama: ✓ DJ Mack ✓ DJ Juma Khan ✓ DJ Black ✓ Babu DJ0,19%
  • 16 июн. 2025 г.POWER VPN UNLIMITED Expired 24-6-2025 Speed 🐌🐌🐌 VPN: HTTP CUSTOM💛 💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜 https://t.me/luhovero26code 💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜 💜TELEGRAM CHANNEL💜POWER VPN UNLIMITED0,15%
  • 8 июн. 2025 г.Muda mchache ujao ndani ya kilometa hizo, Patatokea tetemeko la ardhi hivyo basi chukua tahadhari, Lakini simu hiyo ili ikujulishe kwanza unatakiwa kuiseti kwa kufanya hivi;- 1) HATUA YA KWANZA Nenda sehemu ilioandikwa SETTING halafu bonyeza. 2) HATUA YA PILI Nenda sehemu ilioandikiwa WIFI halafu bonyeza. 3) HATUA YA TATU Nenda sehemu ilioandikwa WIFI PREFFERENCE halafu bonyeza. 4) HATUA YA NNE Nenda sehemu ya kuwasha data ilioandikwa, AUTO SWITCH TO MOBILE DATA au nenda sehemu, Ilioandikwa TURN ON WIFI AUTOMATICALLY, Halafu bonyeza ili uwashe data au uwashe WIFI, Lakini kama UTABONYEZA AUTO SWITCH TO MOBILE DATA ili uwashe data, Ni lazima ubonyeze pia sehemu iliyoandikwa TURN ON WIFI AUTOMACALLY ili uweze kuendelea, Lakini kama utabonyeza sehemu ilioandikwa TURN ON WIFI ATOMATICALLY moja kwa moja, Bila kuwasha data hutakiwi kuwasha tena data, Kwani utaweza kuendelea moja kwa moja na sehemu inayofuata, Ambayo ni hatua ya tano hiyo hapo chini. 5) HATUA YA TANO Nenda sehemu ilioandikwa LOCATION washa yaani weka on. 6) HATUA YA SITA Shuka chini kwenye ukurasa huo huo utakutana na sehemu, Ilioandikwa EARTHQUAKE ALERT halafu bonyeza. Kwakufanya hivyo hapo utakua umemaliza kuiseti simu yako, Na tetemeko likitaka tu kutokea ndani ya kilometa 45.56, Kabla halijatokea simu yako itapiga alarm maalumu, Itakayo kujulisha kuwa eneo hilo muda mchache ujao patatokea tetemeko. NB;- Ni lazima sehemu ya location kwenye simu yako iwe ON, Ndiyo simu yako itaweza kuhisi kutokea kwa tetemeko la ardhi, Katika eneo ulipo au unapo kwenda ndani ya kilometa nilizo kutajia hapo juu. Makala hii imeletwa kwenu na HASSAN LUHOVERO kutoka Dar es salaam0,12%
  • 6 мая 2025 г.POWER VPN UNLIMITED Expired 13-4-2025 Speed 🐌🐌🐌 VPN: HTTP CUSTOM💛 💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜 https://t.me/luhovero26code 💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜 💜TELEGRAM CHANNEL💜POWER VPN UNLIMITED0,11%
  • 6 мая 2025 г.POWER VPN UNLIMITED Expired 13-4-2025 Speed 🐌🐌🐌 VPN: HTTP CUSTOM💛 💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜 https://t.me/luhovero26code 💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜 💜TELEGRAM CHANNEL💜POWER VPN UNLIMITED0,09%