tgindex
Mke Mwema | الزوجة الصالحة

Mke Mwema | الزوجة الصالحة

Статистика

Mke mwema ni yule anayemsaidia mumewe katika kumtii Allāh الزوجة الصالحة هي من أعانت زوجها على الطاعة

Последний пост
20 мар.
Последнее чтение
14 авг.
Постов за неделю
0
Всего постов
20
Тип
открытый
Язык
und
В каталоге с
14 авг.
Подписчики
1 029
−1 за 3 дн.
Сутки
−1
−0,10%
Неделя
 
Месяц
 
Просмотров на пост
1 050
20 постов
Вовлечённость
102,0%
к подписчикам
Постов в день
0,0
всего 20
Упоминаний
0
каналов
Охват размещения
оценка
1/24сутки в ленте
1/48двое суток
1/72трое суток

Оценка по просмотрам недавних постов: пост набирает почти всё за первые сутки.

Посты

  • ‏.. ‏ تقبل الله منا ومنكم، وأدام الله عليكم الصحة والعافية .. ‏ عيدكم مبارك ..🤍🌷

  • Habari iliotufikia hadi sasa ni kuwa, mwezi mwandamo wa Shawwal haujaonekana jioni ya leo 29 Ramadhani 1447 (18 March 2026) Chanzo cha habari ukurasa wa badratkhaier

  • ✨💎🎉🌙 Twawapongeza Nyote kwa Kufikiwa na Mwezi wa Ramadhani Kwani Mtume [ﷺ] alikua akiwapatia bishara maswahaba zake kwa kufikiwa na Ramadhani. Alikua akisema: *«قد جاءكم شهر رمضان شهرٌ مبارك،* *كتب الله عليكم صيامه،* *فيه تفتح أبواب الجنة* *وتغلق فيه أبواب الجحيم،* *وتغل فيه الشياطين،* *فيه ليلةٌ خيرٌ من ألف شهر،* *من حُرِمَ خيرها ‏فقد حُرِم».* ❝Hakika imewafikia mwezi wa Ramadhani; mwezi uliobarikiwa, Allah amewafaradhishia kuufunga. Ndani yake hufunguliwa milango ya Jannah, na hufungwa milango ya moto, na mashetani wanafungwa ndani yake, Ndani yake mna usiku ulio bora kuliko miezi elfu moja, Aliyenyimwa kheri yake, basi hakika huyo ndiye aliyenyimwa.❞ 🖋 Imesahihishwa na Sheikh al-Albani [Swahiih at-Targhiib; (1/490)]. ══════❀🔘❀══════ اللّهم سلّمنا إلى رمضان وسلّم رمضان إلينا وتسلمه منا متقبلاً... ومتعنا اللهم ببركة أيامه ولياليه... وأعنا اللهم وإياكم على صيامه وقيامه إيماناً واحتساباً وجميع ذرياتنا والمؤمنين والمؤمنات يارب العالمين. وصل اللهم وسلم على نبينا محمد وعلى آله وصحبه أجمعين. 🌸آمين🌸 •┈┈••••○○❁🌷❁○○••••┈┈• ✍🏼 imeandikwa na: 𝐌𝐤𝐞 𝐌𝐰𝐞𝐦𝐚 ➠📱【 https://t.me/mke_mwema 】 ➠♻️ Tunakuomba Usiondoe Link Unaposambaza, Baarakallahu Fiik.

  • 🌒🌙 Jioni ya leo, Jumanne, tarehe 29 Shaabani 1447H (17/02/2026), nchi kadhaa zimefanikiwa kuona mwezi mwandamo wa Ramadhani, nazo ni pamoja na: Yemen, Qatar, Kuwait, Bahrain, UAE, Saudi Arabia, Iraq, Palestine, Lebanon. 📝Chanzo cha habari kutoka: BadratKhaier •┈┈••••○○❁🌷❁○○••••┈┈• ✍🏼 imeandikwa na: 𝐌𝐤𝐞 𝐌𝐰𝐞𝐦𝐚 ➠📱【 https://t.me/mke_mwema 】 ➠♻️ Tunakuomba Usiondoe Link Unaposambaza, Baarakallahu Fiik.

  • 📢 Tangazo Muhimu kwa Waislamu Mahakama Kuu ya Saudi Arabia imetoa wito kwa Waislamu kuangalia mwezi mwandamo wa Ramadhani jioni ya siku ya Jumanne, 29 Shaaban 1447H (sawia na 17/2/2026). Chanzo cha habari: https://x.com/SaudiNews50/status/2022975038563991577?s=20 🤲🏼 Tunamuomba Allah atufikishe Ramadhani na atuafikie kutenda mema. 🖋️ @mke_mwema

  • Imetangazwa rasmi kuwa Sheikh Swaalih bin Fawzaan Al-Fawzaan (Allah amuhifadhi) ameteuliwa kuwa Mufti Mkuu wa Saudi Arabia, Mwenyekiti wa Baraza la Wanazuoni Wakubwa, na Rais wa Taasisi Kuu ya Utafiti wa Kielimu na Fatwa, baada ya kufariki dunia Mufti aliyemtangulia Sheikh Abdulaziz ibn Abdullah Aal al-Sheikh (Allah amrehemu). Tarehe: 01/05/1447H — 22/10/2025M 🖋️ @mke_mwema 📎 https://x.com/SaudiNews50/status/1981066759714329072

  • 23 сент. 2025 г.1 030из SunnahPearls

    Indeed, we belong to Allah and to Him we shall return. This morning, The Sheikh Abdulaziz bin Abdullah Al Al-Sheikh, the Grand Mufti of the Kingdom, returned to the mercy of Allah. May Allah forgive him, have mercy on him, raise him to the highest ranks of Paradise, and reward him for his service to Islam and the Muslims. O Allah, grant us patience in this loss and replace it with something better 🖋️ @sunnahpearls

  • 💡 Kwa wasiomjua Sheikh Rabii' bin Haadi, alikuwa mwanachuoni mkubwa wa Sunnah katika zama zetu, amesifiwa na masheikh wakubwa wakiwemo: Sheikh Ibnul Baaz, Sheikh Ibnu Uthaymiin, Sheikh Muqbil Al-Waadi'i na wengineo. Allah amrehemu rehema kunjufu. [Video imefasiriwa kwa Kiengereza] 🖋️ @mke_mwema

  • без подписи

  • إنا لله وإنا إليه راجعون Hakika sisi ni wa Allah, na kwake Yeye hakika tutarejea. Tunatoa mkono wa pole kwa Umma mzima wa Kiislamu kufuatia msiba mkubwa wa kufariki kwa *Sheikh Rabii’ bin Haadi al-Madkhali* – ‘alim mashuhuri, mwanachuoni mwenye juhudi kubwa katika kutetea Sunnah na kufichua bid'aa na upotevu. Allah amrehemu na ampe makazi bora peponi pamoja na manabii, wakweli, mashahidi na waja wema. Ewe Allah, tupe ujira katika msiba huu, na utubadilishie kwa kilicho bora zaidi. ✍🏼 Asema Ibnul Qayyim رحمه الله kuhusu wanazuoni: "Wao duniani ni kama nyota angani – kupitia wao mwenye kupotea huongoka gizani. Na haja ya watu kwao ni kubwa kuliko haja yao ya chakula na kinywaji..." 📘 [I’lām al-Muwaqqi’īn, 1/27] •┈┈••••○○❁🌷❁○○••••┈┈• ➠🌹  Imeandikwa na: 𝐌𝐤𝐞 𝐌𝐰𝐞𝐦𝐚 ➠📱【 https://t.me/mke_mwema 】 ➠♻️ Tunakuomba Usiondoe Link yetu Unaposambaza, Baarakallahu Fiik.

  • 🎉🌼 𝙴𝙸𝙳 𝙼𝚄𝙱𝙰𝚁𝙰𝙺 🌸🎊 تقبل آللّٰـہ‌‏ مـنـآ و مـنڪم 💫✨ نهنئكم بحلول عيد الأضحى المبارك سائلين المولى عز وجل أن يعيده علينا وعليكم أعواما عديدة بالخير واليمن والبركات وعساكم من عوادة 🎉🎀 @mke_mwema

  • Mke Mwema | الزوجة الصالحة pinned a photo

  • 🔴 HABARI RASMI 🌙🕋 Mwezi wa Dhul-hijjah umeonekanwa huko Saudi Arabia: Kesho, Jumatano 28/05/2025, ni siku ya kwanza ya mwezi wa Dhul-hijjah. ▪️ Alhamisi ijayo 05/06/2025, ni siku ya Arafah. ▪️ Ijumaa ijayo 06/06/2025 ni Eidul Adh-ha.

  • 🔴 HABARI RASMI 🌙 Mwezi mwandamo wa Shawwal umeonekana! SAUDI ARABIA, QATAR, UAE, YEMEN, KUWAIT, BAHRAIN... wote wametangaza kuonekanwa kwa mwezi jioni ya leo. Hivyo basi, Eid al-Fitr itakua kesho in Shaa Allah. 📆 Jumapili (30/03/2025) sawia na 01 Shawwal 1446H. 🔹 Chanzo cha habari: Ukurusa wa BadratKhaier: بذرة خير 29 March 2025 • 18:15 •┈┈••••○○❁🌷❁○○••••┈┈• ➠🌹  Imeandikwa na: 𝐌𝐤𝐞 𝐌𝐰𝐞𝐦𝐚 ➠📱【 https://t.me/mke_mwema 】 ➠♻️ Tunakuomba Usiondoe Link yetu Unaposambaza, Baarakallahu Fiik.

  • без подписи

  • без подписи

  • 22 мар. 2025 г.1 6441из mke_mwema

    Kutoka kwa Aishah (Allah amridhie) asema: Nilisema (kumuuliza Mtume [ﷺ]): Ewe Mtume wa Allah! Unaonaje lau nikijua kuwa usiku fulani ndio usiku Laylatul Qadr, Niseme nini ndani yake? Akasema Mtume [ﷺ]: ❝Sema: « اللَّهُمَّ إِنَّكَ عَفُوٌّ تُحِبُّ الْعَفْوَ ؛ فَاعْفُ عَنِّي» *Allahumma innaka Afuwwun, Tuhibbul Afwa, Fa’fu Annii* “Ewe Allah! Hakika wewe ni mwenye kusamehe, unapenda kusamehe basi nisamehe mimi"❞. [Ameipokea Ahmad na wengineo na ikasahihishwa na Al-Albani] •┈┈••••○○❁🌷❁○○••••┈┈• ➠🌹 imefasiriwa na: Mke Mwema ➠📱【 https://t.me/mke_mwema 】

  • Asema Sheikh Abdulaziz Ālu Sheikh: Mmoja wa wema waliopita aliulizwa: Je waonaje aliye kwenye hedhi, walio kwenye nifasi, mgonjwa na msafiri, je wanao fungu lolote katika usiku wa Laylat Al-Qadr? Akasema: "Ndio, aliyekubaliwa na Allāh basi atakuwa na fungu katika usiku wa Laylatul Qadr". Kwa hio mwanamke aliye kwenye hedhi ambaye hedhi yake ilimfikia siku kumi za mwisho asihuzunike, badala yake amtaje Allāh, amuombe Allāh, alete tasbihi, amhimidi na kumshukuru na kumwomba Allāh kheri, na wala hakuna kitakachomdhuru.". 📝 Imenukuliwa Kutoka: https://youtu.be/b9z_sXC0SWw

  • https://t.me/mke_mwema/427 ☝️🏼 Tufanye bidii kuswali Qiyaam al-Layl usiku wa Leo, kwani ni mmojawapo wa usiku kunakotarajiwa sana kupatikana ni Laylatul-Qadr. Tujitahidi zaidi, ni masiku machache tu.. msimu wa tijara ya Akhera usikupite! 🤲🏼 Allah atuafikie kuipata Laylatul-Qadr ya mwaka huu.

  • —🌸 Mwanamke hupata thawabu kwa kupika futari katika mwezi wa Ramadhani, kwa sababu anawaandalia chakula wale wanaofunga. Jambo hili ni sehemu ya kushirikiana katika wema na uchamungu, hivyo anapata malipo kwa hilo." 🎙️ Sheikh Swalih Al-Fawzan تؤجر المرأة بطبخ الفطور في رمضان، لأنها تعد الطعام للصائمين وهذا من التعاون على البر والتقوى فهي مأجورة في هذا. 🎙️الشيخ صالح الفوزان. •🖋🌸 🔗 https://t.me/mke_mwema/1313 ✍🏼 𝐌𝐤𝐞 𝐌𝐰𝐞𝐦𝐚 🎀 https://t.me/mke_mwema