- Последний пост
- 22 дек. 2023 г.
- Последнее чтение
- 15 авг.
- Постов за неделю
- 0
- Всего постов
- 20
- Тип
- открытый
- Язык
- ig
- В каталоге с
- 14 авг.
- 1/24сутки в ленте
- —
- 1/48двое суток
- —
- 1/72трое суток
- —
Оценка по просмотрам недавних постов: пост набирает почти всё за первые сутки.
Посты
The owner of this channel has been inactive for the last 5 months. If they remain inactive for the next 8 days, they may lose their account and admin rights in this channel. The contents of the channel will remain accessible for all users.
The owner of this channel has been inactive for the last 5 months. If they remain inactive for the next 18 days, they may lose their account and admin rights in this channel. The contents of the channel will remain accessible for all users.
без подписи
без подписи
без подписи
UCHEBE AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA TUHUMA ZA KUMPIGA SHILOLE > Ashiraf Geuza (Uchebe) amefikishwa Mahakama ya Kinondoni kwa kosa la kumjeruhi Zuwena Mohamed (Shilole) na kumsababishia maumivu Julai 6, 2020 maeneo ya Ada Estate Kinondoni Soma - https://jamii.app/UchebeKizimbani
NEC: MAPINGAMIZI YA LISSU HAYANA MSINGI WA KISHERIA - Tume ya Uchaguzi (NEC) imesema ilipokea mapingamizi ya Tundu Lissu (CHADEMA) dhidi ya Wagombea wenzake, Dkt. John Magufuli (CCM) na Prof. Ibrahim Lipumba (CUF) - Baada ya kupitia mapingamizi hayo na Utetezi uliotolewa, NEC imesema waliowekewa mapingamizi ni Wagombea halali Soma https://youtu.be/3ST-kGCcMUs #Uchaguzi2020
SPIKA NDUGAI: KUNA WABUNGE WANATUMIA BANGI NA KUNYWA GONGO > Amesema “Ni ukweli usiopingika kwamba yako mambo Watanzania hawayajui na huwa hatupendi sana kusema. Ni kweli baadhi ya Wabunge na hasa hao wenye fujo wanatumia #DawaZaKulevya, bangi, wanakunywa konyagi au gongo, anakuja pale sio yeye” Soma - https://jamii.app/WabungeBangi
WADHAMINI WAIOMBA MAHAKAMA ITOE HATI YA KUMKAMATA TUNDU LISSU > Mahakama ya Kisutu, imetoa siku 7 kwa upande wa Jamhuri kuwasilisha majibu ya kiapo kinzani na maombi ya wadhamini hao > Wadhamini wamefungua maombi wakiiomba Mahakama itoe hati ya kumkamata kwani wameshindwa kumpata na kumfikisha Mahakamani Soma https://jamii.app/KukamatwaLissu
#COVID19: RAIS MAGUFULI AZUNGUMZIA WABUNGE WALIOONDOKA BUNGENI - Rais Magufuli wakati anavunja Bunge leo amewapongeza Wananchi kwa kupambana na #CoronaVirus - Pia, amewapongeza Wabunge kwa kuendela na Bunge na kusema walioondoka walionesha uoga na kutojiamini Angalia; https://youtu.be/i8fusZlszcs
RAIS MAGUFULI ATANGAZA KUFUNGUA SHULE ZOTE JUNI 29 - Amesema hali ya #Corona nchini inaendelea vizuri na imepungua sana - Amesema shughuli nyingine zote kama kufunga ndoa nazo ziendelee. Maisha lazima yarudi kama ilivyokuwa zamani Zaidi, soma https://jamii.app/KuvunjaBunge11 #JPMBunge11
MWANAMUZIKI HARMONIZE KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA TANDAHIMBA > Mwanamuziki Rajab Abdul maarufu Harmonize, amesema ana mpango wa kugombea Ubunge katika Jimbo la Tandahimba Mkoani Mtwara, miezi kadhaa baada ya Rais Magufuli kupendekeza afanye hivyo Soma - https://jamii.app/HarmonizeUbunge
#CORONAVIRUS: UFARANSA KULEGEZA MASHARTI ZAIDI KUANZIA LEO - Safari za nchi nyingine za Ulaya zitaruhusiwa. Migahawa na hoteli nchi nzima zitafunguliwa - Hata hivyo, Rais Emmanuel Macron ameonya kuna uwezekano ugonjwa utarejea Soma https://jamii.app/COVID19Updates #JFCOVID19_Updates
POLISI: MBOWE ALIFIKA HOSPITALINI AKIONEKANA KUWA KATIKA HALI YA ULEVI CHAKARI > Polisi wameeleza kuwa hakuna shahidi yeyote aliyesikia kelele wala kuona Mbowe akishambuliwa > Mbowe alidai kuvamiwa na watu watatu alipokuwa akiingia nyumbani kwake wakati akitokea kwa mzazi mwenzake, Joyce Mukya, Mbunge wa Viti Maalum (CHADEMA) Zaidi; https://youtu.be/BD8ixLNrO-s
Chokoleti (Chocolate) ina kiwango kikubwa cha kemikali aina ya Theobromine & Phenylethylamine ambazo husaidia kuongeza hamu ya kufanya mapenzi. #Fahamuzaidi
RAIS MAGUFULI: KAZI HII NI NGUMU, INA MATESO SANA - Amewaomba Watanzania wamuombee ili asije kuwa na kiburi au jeuri bali awe kiongozi wa kweli asiyebagua - Pia, akatimize wajibu wake katika kipindi kilichopangwa Kikatiba ili kusudi baada ya hapo awaachie wengine ambapo pia watatimiza wajibu wao Zaidi; https://youtu.be/sXisHOi1YVU
WABUNGE WA CHADEMA WAANZA KUHOJIWA NA PCCB > Wabunge wa CHADEMA leo wameanza kuwasili katika ofisi za TAKUKURU jijini Dodoma kwa ajili ya kuhojiwa > Mbunge wa Mbeya mjini, Joseph Mbilinyi (Sugu) amekuwa wa kwanza kufika > TAKUKURU ilisema itawahoji wabunge 69 wa chama hicho kufuatia malalamiko juu ya matumizi ya fedha za makato katika mishahara
Rais Magufuli asema Serikali inafikiria kuzifungua shule za sekondari, msingi na awali baada ya kuridhika na mwenendo wa ugonjwa wa corona nchini
WAZIRI HASUNGA: KINACHOFANYIKA HADI SUKARI INAADIMIKA NI UHUNI - Asema Serikali haifahamu kwanini sukari imeendelea kuadimika kwa baadhi ya maeneo kwani ipo nyingi nchini - Mkakati wa kusaka inapofichwa bidhaa hiyo utaanzia Dar Jumatatu ijayo Soma https://jamii.app/UhabaSukariTZ
DIAMOND PLATNUMZ ANG'ARA KWENYE JARIDA LA BILLBOARD > Meneja wa 'YouTube Music Trends', Kevin Meenan amesema amevutiwa sana na Mbinu pamoja na Ubunifu anaoutumia Msanii huyo wa Bongo Fleva kwenye chaneli yake ya YouTube > Diamond ana 'Subscribers' millioni 3.6 na zaidi ya 'views' millioni 980 huku 80% ya watamazaji wakiwa wanatokea nje ya Tanzania tangu Mei 1, 2019 hadi Mei 1, 2020 Soma - https://jamii.app/DiamondBillboard