JamiiForums
СтатистикаOfficial Telegram Channel | Inform x Engage x Empower
- Последний пост
- 14 авг.
- Последнее чтение
- 15 авг.
- Постов за неделю
- 60
- Всего постов
- 480
- Тип
- открытый
- Язык
- ny
- Категория
- Новости и СМИ (по похожим)
- В каталоге с
- 12 авг.
- 1/24сутки в ленте
- 134
- 1/48двое суток
- 153
- 1/72трое суток
- 165
Медиана по постам, которые мы застали свежими и померили через сутки.
Посты
без подписи
без подписи
DAR: Jeshi la Polisi lilisema linawashikilia Askari watatu wa uhifadhi kwa ajili ya uchunguzi zaidi kutokana na kifo cha Sefu Mussa (25) na kujeruhiwa kwa Salimu Haji Chambega. Upande wa ACT imesema, "Tunatoa pole kwa familia ya marehemu, tunamtakia aliyejeruhiwa kupona, tunasimama na Wananchi wanaodai haki, uwajibikaji na utawala wa Sheria." Mdau, una maoni gani? Fuatilia zaidi https://jamii.app/NtobiKijajiKujiuzulu #JamiiForums #Uwajibikaji #HakiZaBinadamu
DAR: Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanataaluma ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDASA), Profesa Elgidius Ichumbaki ameyasema hayo Agosti 14, 2026 wakati akizungumza katika mjadala wa kumkumbuka mwanazuoni Chachage Chachage. Zaidi https://jamii.app/UDASAUhuruMaoni #JamiiForums #Uwajibikaji #HakiZaBinadamu #JFDemokrasia
без подписи
DAR: Jeshi la Polisi limetoa Taarifa leo Agosti 14, 2026 kuwa linamshikilia na kumhoji Wakili Peter Madeleka kwa Tuhuma za kudharau amri ya Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi (Mahakama ya Mafisadi), iliyotolewa na Mahakama Julai 27, 2026 na Agosti 13, 2026. Awali, Madeleka ambaye ni Wakili wa Kujitegemea aliripotiwa kukamatwa na Watu waliojitambulisha kuwa ni Askari Polisi na kuchukua vitu vyake ikiwemo gari, fedha pamoja na nyaraka alizokuwa nazo. Zaidi tembelea https://jamii.app/PolisiMadeleka #JamiiForums #Utawala #HakiZaBinadamu
без подписи
ZAMBIA: Tume ya Uchaguzi imesitisha zoezi la kuhesabu kura za Urais kutokana na kuelezwa kuwa kuna vurugu, vitisho na vitendo vya wizi wa kura vilivyojitokeza, hivyo itapitia uamuzi huo baada ya Saa 24. Mara baada ya uamuzi huo, Kiongozi wa upinzani Brian Mundubile ambaye anachuana na Rais wa sasa Hakainde, amedai kuwa ameshinda na kuwa kucheleweshwa kwa zoezi la kuhesabu kura kunatoa mwanya wa kuchakachua matokeo. Zaidi tembelea https://jamii.app/ZambiaStpVtCntng #JamiiForums #Demokrasia #JFDemocracy #AfricanPolitics
Inadaiwa kuwa tukio hilo la Wakili wa kujitegemea Peter Madeleka kukamatwa na watu waliojitambulisha kuwa Askari Polisi limetokea Agosti 14, 2026 alipokuwa eneo la Mahakama ya Uhujumu Uchumi, Mikocheni, Dar es Salaam. Kupitia ukurasa wa Mwanaharakati Godlisten Malisa akirejea maelezo ya Wakili Gideon Mathew ameeleza kuwa waliomkamata hawajaeleza sababu wala kituo alichopelekwa. Pia wamechukua gari, fedha na nyaraka zake. Fuatilia zaidi https://jamii.app/MadelekaKukamatwa #JamiiForums #HakiZaBinadamu #HumanRights
без подписи
Mdau, gharama za usafiri kwenda kwenye mkoa wako zipoje? Fuatilia zaidi, shiriki https://jamii.app/NauliZanzibar #JamiiForums #Uwajibikaji #JFMdau2026
без подписи
без подписи
Mamlaka ya Kudhibiti Vyakula na Dawa Rwanda (FDA) ilizuia vinywaji aina 52 kwa madai ya kutokuwa na ubora ikiwemo kutoka Tanzania, Kenya na Uganda. Agosti 7, 2026, TBS ilitoa taarifa rasmi kuwa inafuatilia suala hilo. Wakati huohuo Agosti 13, 2025, Mdau wa JamiiForums.com aliandika, “Marufuku ya Pombe zisizo na Ubora Rwanda: TBS imelala wakati Watanzania wanaweza kuwa wanapata Upofu na Kufa kimya kimya?” Fuatilia zaidi https://jamii.app/TamkoLaTBS #JamiiForums #PublicHealth #JFAfya #Diplomacy
без подписи
без подписи
без подписи
Mtag hapa, mwambie atachelewa mpaka Mbinguni!😂 Mjadala unaendelea https://jamii.app/RafikiMchelewaji #JamiiForums #Maisha
Mdau, ukiambiwa ujitetee kwa kutumia Lugha ya Kiingereza utatoboa? Zaidi https://jamii.app/KingerezaUsahil #JamiiForums #Maisha #JFLugha
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padre Dkt. Charles Kitima ameyasema hayo Agosti 13, 2026 wakati akizungumza na Waandishi wa Habari. Zaidi https://jamii.app/KitimaVikosi #JamiiForums #Uwajibikaji