tgindex

Radio Tehran (SW)

описание

Ukweli na Uongofu

432
подписчиков
Охват к подписчикам
1,9%
ERR
Реакции к просмотрам
0,00%
0 на 30 постов
Пересылки к просмотрам
0,00%
0
Постов в день
5,0
всего 35

Где отзываются чаще

доля реакций к просмотрам
  • 14 авг.Muungano wa upinzani DRC wasisitiza msimamo wa mazungumzo jumuuishi ya kitaifa Muungano wa upinzani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) unaojulikana kama C64 (Coalition Article 64), umesisitiza msimamo wake wa kumtaka Rais Félix Tshisekedi kuitisha mazungumzo ya kitaifa yanayowahusisha watu wote kabla ya tarehe 15 Agosti 2026, au wachukue hatua za kisiasa. https://parstoday.ir/sw/news/africa-i140650-muungano_wa_upinzani_drc_wasisitiza_msimamo_wa_mazungumzo_jumuuishi_ya_kitaifa0,00%
  • 14 авг.Baghaei: Kimya mbele ya mabavu huvunja imani ya watu kwa utawala wa sheria kimataifa Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran, Esmaeil Baghaei, amesema kwamba pale ambapo sheria inashindwa kuchukua hatua mbele ya nguvu na mabavu, imani ya jamii ya kimataifa katika uwezekano wa kuwepo utawala wa sheria katika mahusiano ya kimataifa hudhoofika. https://parstoday.ir/sw/news/iran-i140652-baghaei_kimya_mbele_ya_mabavu_huvunja_imani_ya_watu_kwa_utawala_wa_sheria_kimataifa0,00%
  • 14 авг.Misri na Imarati zasisitiza kupunguzwa mvutano na kurejeshwa njia ya kidiplomasia kati ya Iran na Marekani Misri na Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) zimesisitiza umuhimu wa kupunguzwa mvutano na kurejeshwa njia ya mazungumzo ya kidiplomasia kati ya Jamhuri ya Kkiislamu ya Iran na Marekani. https://parstoday.ir/sw/news/west_asia-i140654-misri_na_imarati_zasisitiza_kupunguzwa_mvutano_na_kurejeshwa_njia_ya_kidiplomasia_kati_ya_iran_na_marekani0,00%
  • 14 авг.Iran: Miinuko ya Golan ni sehemu isiyotenganishwa na ardhi ya Syria Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesisitiza kwamba Miinuko ya Golan ni sehemu isiyotenganishwa na ardhi ya Syria, huku ikieleza kuunga mkono mapambano halali ya wananchi wa Palestina. Tehran imesisitiza pia msimamo wake wa kuunga mkono haki za wananchi wa Palestina na mapambano yao ya kisheria kwa ajili ya kutetea haki zao. https://parstoday.ir/sw/news/west_asia-i140656-iran_miinuko_ya_golan_ni_sehemu_isiyotenganishwa_na_ardhi_ya_syria0,00%
  • 14 авг.KIJARIDA CHA HABARI Iran: Hakuna chombo kinachoweza kupita salama Hormuz bila idhini Msemaji wa Kamandi Kuu ya Majeshi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ijulikanayo kama Makao Makuu ya Khatam al-Anbiya amekanusha madai ya Marekani kwamba meli zinaendelea kupita kwa hali ya kawaida katika Lango Bahari la Hormuz, akisema hakuna chombo kinachoweza kuvuka kwa usalama njia hiyo ya kimkakati bila idhini na uangalizi wa Iran. https://parstoday.ir/sw/news/iran-i140658-iran_hakuna_chombo_kinachoweza_kupita_salama_hormuz_bila_idhini0,00%
  • 13 авг.ILO: Mafunzo ya ufundi yatumike kukabiliana na ongezeko la ukosefu wa ajira kwa vijana Ukosefu wa ajira miongoni mwa vijana duniani umeongezeka, huku ukuaji dhaifu wa uchumi na upungufu wa nafasi mpya za kazi ukiwaweka vijana katika mazingira magumu ya kuingia katika soko la ajira. https://parstoday.ir/sw/news/world-i140644-ilo_mafunzo_ya_ufundi_yatumike_kukabiliana_na_ongezeko_la_ukosefu_wa_ajira_kwa_vijana0,00%
  • 13 авг.Israel inashikilia waandishihabari 40 wa Kipalestina katika kampeni ya kubana sauti ya haki Israel inawashikilia takriban waandishi wa habari 40 wa Kipalestina, wakiwemo wanawake watano, huku ikiongeza kasi ya ukandamizaji mkubwa ili kunyamazisha vyombo vya habari vya Kipalestina na kuzuia kuripotiwa kwa ukiukaji na jinai zake. Hayo ni kwa mujibu wa Jumuiya ya Wafungwa wa Kipalestina (PPS). https://parstoday.ir/sw/news/west_asia-i140640-israel_inashikilia_waandishihabari_40_wa_kipalestina_katika_kampeni_ya_kubana_sauti_ya_haki0,00%
  • 13 авг.Ripoti: Maafisa wa Uturuki waamini Israel ilitunga ‘njama ya Iran’ ya kumuua Trump Ripoti mpya inaonyesha kwamba madai ya njama ya Iran ya kumuua Rais wa Marekani Donald Trump wakati wa mkutano wa hivi karibuni wa NATO nchini Uturuki yalikuwa ni upotoshaji uliopikwa na shirika la kijasusi la Israel, Mossad, kwa lengo la kuvuruga mazungumzo ya Iran na Marekani yaliyolenga kumaliza kabisa uchokozi wa Marekani na Israel dhidi ya Iran. https://parstoday.ir/sw/news/world-i140642-ripoti_maafisa_wa_uturuki_waamini_israel_ilitunga_njama_ya_iran%E2%80%99_ya_kumuua_trump0,00%
  • 13 авг.Iran yasisitiza Lango la Hormuz halifunguliwi mpaka masharti yake yatimizwe Mamlaka ya Iran inayosimamia Lango Bahari la Hormuz katika Ghuba ya Uajemi imekanusha vikali madai ya maafisa wa Marekani kuhusu kufunguliwa tena kwa njia hiyo ya kimkakati ya baharini. https://parstoday.ir/sw/news/iran-i140646-iran_yasisitiza_lango_la_hormuz_halifunguliwi_mpaka_masharti_yake_yatimizwe0,00%
  • 13 авг.‘Unafiki’: Iran yashutumu Ufaransa kwa kuhubiri haki huku ikiunga mkono uhalifu wa Marekani na Israel Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Sayyid Abbas Araghchi, amelaani vikali Ufaransa na mataifa mengine kwa kujifanya mawakili wa haki za binadamu na sheria za kimataifa, wakati wakihalalisha na kuunga mkono uhalifu wa kivita unaofanywa na Israel na Marekani. https://parstoday.ir/sw/news/iran-i140648-unafiki%E2%80%99_iran_yashutumu_ufaransa_kwa_kuhubiri_haki_huku_ikiunga_mkono_uhalifu_wa_marekani_na_israel0,00%
  • 13 авг.Kongo: Mkurugenzi Mkuu wa WHO atahadharisha kuhusu mlipuko wa Ebola Baada ya kurejea kutoka ziarani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) ametahadharisha kuhusu mlipuko wa Ebola. https://parstoday.ir/sw/news/africa-i140628-kongo_mkurugenzi_mkuu_wa_who_atahadharisha_kuhusu_mlipuko_wa_ebola0,00%
  • 13 авг.Zambia yaelekea kwenye uchaguzi; Rais Hichilema anawania muhula wa pili Watu wa Zambia leo Alhamisi wanashiriki katika uchaguzi ili kuamua iwapo Rais Hakainde Hichilema atapata muhula wa pili wa miaka mitano kama zawadi ya mpango wake wa ufufuzi wa uchumi katika taifa hilo la Kusini mwa Afrika, ambalo ni miongoni mwa wazalishaji wakubwa wa shaba duniani lakini lilikumbwa na mgogoro wa madeni hivi karibuni. https://parstoday.ir/sw/news/africa-i140630-zambia_yaelekea_kwenye_uchaguzi_rais_hichilema_anawania_muhula_wa_pili0,00%