SPORTS LITE
СтатистикаFahamu na pata Kujua mambo mengi mbalimbali yahusuyo Michezo Ndani na Nje ya Nchi ya Tanzania
- Последний пост
- 24 мая 2025 г.
- Последнее чтение
- 13 авг.
- Постов за неделю
- 0
- Всего постов
- 21
- Тип
- открытый
- Язык
- sn
- В каталоге с
- 13 авг.
- 1/24сутки в ленте
- —
- 1/48двое суток
- —
- 1/72трое суток
- —
Оценка по просмотрам недавних постов: пост набирает почти всё за первые сутки.
Посты
https://chat.whatsapp.com/K1puNTSTbSl9uFmXFpyVtK Bofya link yetu kujiunga na group la kusoma vitabu vya biashara na ujasiliamali kama upo interested.
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 *PESA KIDOGO BANDO KUBWA* *Gb240 DK18000 kwa 85k* Mteja anapokea GB20+dk1500 na SMS kila mwezi kwa mwaka mzima *GB720 DK36000 kwa 130k* Mteja anapokea GB60+dk3000 na SMS kila mwezi kwa mwaka mzima *GB960 DK60000 kwa 150k* Mteja anapokea GB80+dk5000 na SMS kila mwezi kwa mwaka mzima *GB1440 DK96000 kwa 185k* Mteja anapokea GB120+dk8000 na SMS kila mwezi kwa mwaka mzima Kwa mawasiliano* ..... 0652342388* Mr *kipanda***
Hellow humu
#MICHEZO: Neymar azua hofu baada ya kupata jeraha la misuli ya paja katika mechi yake ya pili akiwa na Al-Hilal baada ya mwaka mmoja kuwa nje ya Uwanja. Mshambulizi huyo wa Brazil mwenye umri wa miaka 32 aliingia dakika 58 kisha kutolewa dakika ya 86 katika ushindi wa 3-0 wa klabu hiyo ya Saudi Arabia dhidi ya Esteghlal ya Iran kwenye Ligi ya Mabingwa ya Asia jana Jumatatu Novemba 4/2024. "Ni kawaida kwa hili kutokea baada ya mwaka mmoja. Madaktari walinionya mapema, kwa hiyo ni lazima niwe makini ili kucheza dakika nyingi zaidi."-Mbrazil huyo alisema kwenye Instagram. Neymar alikuwa nje ya uwanja kwa muda mrefu baada ya kupata jeraha la goti wakati wa mechi ya kuwania kufuzu kwa Kombe la Dunia dhidi ya Uruguay mnamo Oktoba 2023. Ameitumikia Al-Hilal katika mechi saba pekee tangu kuhama kwake kutoka Paris St-Germain mnamo Agosti 2023.
без подписи
без подписи
без подписи
без подписи
без подписи
без подписи
без подписи
без подписи
без подписи
без подписи
без подписи
без подписи
без подписи
без подписи
без подписи
без подписи