tgindex
Millard Ayo
@millardayoВидеоанглийский

Award winning TV/Radio Personality | Amplifaya @CloudsFMTZ |Journalist from Africa | Bookings millard@millardayo.com | 📍 DSM, Tanzania www.youtube.com/watch?v=oFCX_N68ULs

Последний пост
20 сент. 2025 г.
Последнее чтение
14:50
Постов за неделю
0
Всего постов
39
Тип
открытый
Язык
английский
Категория
Видео
В каталоге с
13 авг.
Подписчики
3 618
−17 за 4 дн.
Сутки
−7
−0,19%
Неделя
 
Месяц
 
Просмотров на пост
746
39 постов
Вовлечённость
20,6%
к подписчикам
Постов в день
0,0
всего 39
Упоминаний
0
каналов
Охват размещения
оценка
1/24сутки в ленте
1/48двое суток
1/72трое суток

Оценка по просмотрам недавних постов: пост набирает почти всё за первые сутки.

Посты

  • Ni Shuhuda za Mashuhuda, Shuhuda za Mashabiki wapya wa AMAL CARPETS ambao wameonesha kufurahishwa na OFA kubwa ya makapeti iliyoanza katika Maduka ya AMAL CARPETS ( @amalcarpets ) kuanzia jana Ijumaa hadi October 5 2025. Huyu ni miongoni mwa Wakazi wa Jiji waliojitokeza leo kununua makapeti hayo ambayo yameshushwa bei kuanzia shilingi elfu tatu, elfu 35, elfu 45 na kuendelea ambapo ni makapeti kwa ajili ya matumizi ya Majumbani na Maofisini yakipatikana katika Maduka ya AMAL yaliyopo Mlimani City, Aura Mall, Narung’ombe, China Plaza, Morocco Square, Mwenge Stendi, Amal Cocacola road au Amal Arusha. “Kesho ni Jumapili na Maduka yetu yatakuwa wazi kuanzia saa nne asubuhi hadi saa nne usiku, tunawakaribisha sana Wakazi wa Jiji na Majirani kuchangamkia punguzo hili kubwa la bei”

  • без подписи

  • без подписи

  • без подписи

  • без подписи

  • без подписи

  • Katika mashindano ya African Rally Championship (ARC) kupitia Mkwawa Rally of Tanzania siku ya pili leo Septemba 20, yamefanyika kwenye Viwanja vya Hifadhi ya Misitu ya TFS mkoani Morogoro, Arsh Somji ndiye mshiriki mdogo zaidi kwenye mashindano haya ya Kimataifa. Arsh Somji, anasema kwa sasa, ndoto yake ni kuiwakilisha Tanzania katika ngazi kubwa zaidi za Kimataifa, akiamini kuwa mafanikio ya mwanzo ni daraja la kufikia mafanikio makubwa zaidi katika tasnia ya mbio za magari. #MillardAyoUPDATES

  • Punguzo Punguzo Punguzo Punguzo hadi 50% Tembelea maduka ya @gsmhometz yaliyopo mikocheni ufurahie punguzo baabkubwa. 📍GSM Home Mikocheni

  • Kampuni ya Ndege ya Auric Air @auricair imetangaza kuanzisha safari mpya za anga ndani ya Tanzania kuanzia tarehe 1 Oktoba 2025 ikiwa ni sehemu ya mkakati wake wa kuboresha huduma na kuongeza muunganiko wa usafiri wa ndani. Safari mpya zitahusisha Dar es Salaam–Mwanza na Dar es Salaam–Bukoba ambapo Auric Air imetangaza ofa maalum za utangulizi ambapo tiketi ya kwenda na kurudi Dar–Mwanza itauzwa kwa shilingi 472,000 na Dar–Bukoba kwa shilingi 572,000, bila kujumuisha kodi na ada nyinginezo vilevile Kampuni imeeleza kuwa tiketi za bei hizi za ofa ni chache, hivyo abiria wanashauriwa kuhifadhi mapema. Auric Air imesisitiza dhamira yake ya kuendelea kutoa huduma salama, za kuaminika na zinazokidhi mahitaji ya Wateja huku ikichangia katika maendeleo ya uchumi wa Taifa na kuimarisha nafasi ya Tanzania kama kitovu cha safari za anga ndani ya ukanda wa Afrika Mashariki. Aidha huduma ya kukata tiketi inapatikana kupitia tovuti rasmi ya kampuni, www.auricair.com, au kwa kupiga simu ya huduma kwa wateja 0746 986 123. #MillardAyoUPDATES

  • без подписи

  • @millardayo

  • Mgombea Ubunge wa Arusha Mjini kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda amesema nia yake katika kuwania nafasi hiyo ni kuwatumikia Wananchi wa Arusha na kwamba kufanya hivyo ni kutimiza kusudi la Mungu lililopo ndani yake huku akiwaomba Waumini kumuombea ashinde awe Mbunge katika uchaguzi unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025. #MillardAyoUPDATES

  • Ladies & Gentlemen 🌟🌟 We’re beyond excited to unveil our Xmas in Dubai package and trust us, it’s going to be epic! Get ready for nothing but five-star treatment all the way. Don’t let this year end without gifting yourself an unforgettable experience. We’ve made it super easy for you with our “Lipa Kidogo Kidogo” plan starting from just $100. It’s the smartest way to secure your spot early Package Inclusions: • Emirates flight tickets • CIP Lounge Access at JNIA • 7 Nights at Marriott Marquis Hotel Dubai Creek (5-star) • Daily Buffet Breakfast • Tourism Dirham • Return Airport Transfers • 30-Day UAE Tourist Visa (Single Entry) • Half-Day Dubai City Tour • Explore Dubai Mall & Fountain Show • Lotus Mega Yacht Dinner (VIP Lounge Access) • Miracle Garden • Global Village • Ski Dubai – Snow Plus • Ain Dubai • Desert Safari with BBQ Dinner (Luxury Camp) • Abu Dhabi City Tour Dates: 23rd – 30th December Rates (per person): • Double Occupancy: $2,150 • Single Occupancy: $2,750 • Child: $1,300 Book now for yourself and your loved ones +255 769 567 651 +255 743 794 416 Email: booking@cielotravels.com Let’s make this December unforgettable.

  • @millardayo

  • Mgombea Urais wa wa Tanzania kupitia CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan leo September 20, 2025 akiwa Pemba, Zanzibar kwenye Viwanja vya Gombani ya Kale Wilayani Chake Chake, ameahidi kujenga uwanja wa ndege wa Pemba ikiwa atachaguliwa katika uchaguzi Mkuu wa Oktober 29, 2025, katika jitihada za kuifungua Pemba kibiashara na kiuchumi kwa kuvutia uwekezaji na shughuli za kiuchumi na Kijamii. Dkt. Samia akihutubia Wananch katika siku yake ya kwanza ya kampeni Visiwani Pemba leo amesema katika mpango wa Serikali, uwanja huo utakuwa wa kimataifa na utawezesha Wafanyabiashara pia kutumia uwanja huo katika usafirishaji wa mizigo kutoka nje ya nchi kwenda kisiwani humo. Dkt. Samia ameahidi kuwa Serikali yake itamalizia ujenzi wa barabara ya Chake- Mkoani, akisema fedha ipo sambamba na ya ujenzi wa Bandari ya Wete ambayo itajengwa kwa kutumia fedha za mkopo kutoka Korea Kusini, zikiwa ni jitihada za serikali ya awamu ya sita, iliyopambana kupata fedha hizo kutoka kwa Wahisani hao. #MillardAyoUPDATES

  • без подписи

  • без подписи

  • без подписи

  • без подписи

  • без подписи